Ukweli hasa kuhusu waliozaa bila kuolewa "masingle mama"

NAWAITA MASHUJAA NA SITAKI KUWA RAUMU KWA LOLOTE ,WACHA WAJENGE TAIFA
MASINGLE MAMA WASIWACHOSHE AKILI HAWA FANYENI YENU
ATA MAMA MONDI(WCB)NI SINGLE MAMA LEO ANAKULA BATA
 
acheni basi masimango yenu .. kwani wanaosababisha usingle mother si wanaume .. kama umempa mimba demu oa mbona simple and clear aisee
 
miss chagga hebu angalia kama nimewasimanga ama nimewatetea.
 
Naona huu mwaka mmewaamulia aiseee lakini huwa wana povu balaaa sijui wakija utaliweza??? Sema umewapa ushauri hujawadis
Sasa Ninashangaa Mimi nimewapa Ushauri mzuri na kuwatetea Ila wapo wanaodhani Nimewadis.

Nafikiri hawajasoma uzi wote.
 
Singo maza angalau uwe under 27 vinginevyo usingo maza ndo mme wako daima.
 
hujatetea sababu umetusema kuwa tunashindwa kujizuia na lengo lako ni kutusema na si kututetea
Ni ushauri nimetoa kweli na lengo ni kuwatetea, ndio maana pia nimewaponda Wanaume
 
Habarini Wadau,

Kwanza naomba sana Tuwaheshimu Wanawake "Wanaojiheshimu" kwakuwa ndio mama zetu. Tupunguze lawama nyingi juu yao.

Nitaeleza sababu nizijuazo zinazopelekea kuwepo kwa Single Mothers:

1) UZEMBE / UJINGA WAO WENYEWE:

Ukichunguza vizuri utagundua single mums wengi wa mjini ni Wasomi kabisa, sasa inashangaza kwamba:

Kama hawataki kuzaa na Mwanaume wanashindwa nini kutumia njia za kuzuia Mimba wakati zipo nyingi tu?

Kuna Condoms, Vijiti, Vidonge au basi si wasome mizunguko yao (menstruation cycle).

Kwani huwa wanabakwa?
KIONGOZI UNA MKE?

2) UMRI KUWA MKUBWA BILA KUOLEWA:

Wengine wanabeba mimba kwasababu wanagundua kuwa umri unawatupa mkono na wana wasiwasi huenda wasije kuolewa baadae.

3) SISI WANAUME:

Kuna ile dizain unapata dem halafu kama maisha hayajakaa vizuri unaamua tu umpe mimba (hutumii ndom) halafu mengine yatajijua mbele kwa mbele, au wanaume wengine ndio ile unakuwa una hamu na Mtoto kwahiyo unampa yeyote mimba.

USHAURI:

■ Kwa wanawake kuweni makini sana kabla ya kufanya maamuzi ya kufanya mapenzi, Au ikiwa ni ridhaa yako kuzaa na yeyote kabla ya Ndoa basi msiwe na hasira, Povu na chuki kwa Wanaume wote.

■ Wanaume tusiwadis hawa watu kwasababu mimba tunawapa sisi.

NB: Bora Single Mama kuliko Mtoa Mimba (Muuaji)

Wabillah Tawfiq.
 
miss chagga:Muulize huyu jamaa kwanza anamke au?
Wewe ni Mnafiki halafu si bure unajiita wa kiume

Kwanini usiniulize mimi mpaka umtumie miss chagga? Au umezoea umbea eeh.
 
Ndio kiongozi nimezoea umbea!!!!,na mbea sio muongo sema anafikisha ujumbe mahari pasipo husika
 
Hilo la kukiri kuzoea Umbea basi inatosha.

Sijahitaji maelezo ya utofauti wa Mmbea na Mwongo.
 
Habarini Wadau,

Kwanza naomba sana Tuwaheshimu Wanawake "Wanaojiheshimu" kwakuwa ndio mama zetu. Tupunguze lawama nyingi juu yao.

Nitaeleza sababu nizijuazo zinazopelekea kuwepo kwa Single Mothers:

1) UZEMBE / UJINGA WAO WENYEWE:

Ukichunguza vizuri utagundua single mums wengi wa mjini ni Wasomi kabisa, sasa inashangaza kwamba:

Kama hawataki kuzaa na Mwanaume wanashindwa nini kutumia njia za kuzuia Mimba wakati zipo nyingi tu?

Kuna Condoms, Vijiti, Vidonge au basi si wasome mizunguko yao (menstruation cycle).

Kwani huwa wanabakwa?

2) UMRI KUWA MKUBWA BILA KUOLEWA:

Wengine wanabeba mimba kwasababu wanagundua kuwa umri unawatupa mkono na wana wasiwasi huenda wasije kuolewa baadae.

3) SISI WANAUME:

Kuna ile dizain unapata dem halafu kama maisha hayajakaa vizuri unaamua tu umpe mimba (hutumii ndom) halafu mengine yatajijua mbele kwa mbele, au wanaume wengine ndio ile unakuwa una hamu na Mtoto kwahiyo unampa yeyote mimba.

USHAURI:

■ Kwa wanawake kuweni makini sana kabla ya kufanya maamuzi ya kufanya mapenzi, Au ikiwa ni ridhaa yako kuzaa na yeyote kabla ya Ndoa basi msiwe na hasira, Povu na chuki kwa Wanaume wote.

■ Wanaume tusiwadis hawa watu kwasababu mimba tunawapa sisi.

NB: Bora Single Mama kuliko Mtoa Mimba (Muuaji)

Wabillah Tawfiq.
Watakujibu wenyewe JF wamejaa ngoja nikae pembeni nione huu ugomvi uliouanzisha !
 
Back
Top Bottom