UKWELI: Hali ya Muhimbili Hospital na Ocean Road ni ya HATARI

dawa ni kuweka sawa vifaa vyote kwanzia malaria,na.........presheni zote najifanyia mwenyewe tu,na liwalo na liwe kama mnaendelea na mgomo endeleeni ila kale kamshahara serikali ihakikishe hakaingii kwenye account za wauwaji wenye magwanda ya madoctor!
lazma kieleweke meza pana sifkirii kama ni busara kukaa tena wakati mwanzo walikaa wakaona waliokaa nao hawafai!
 
kama ni kweli madaktari wamerudi kazini jee huduma ya afya itarejea kama mwanzo.vyombo vya habari vinataka kutusahaulisha mgomo huu.

Inasikitisha sana watu wanavyoposha habari hadi unaogopa Taifa linaangamia kwa sabubu ya uovu wa watu wachache.Tanzania huru inakuja
 
Madaktari, mna habari kwamba tunalipa bima ya afya kila mwezi? Sasa kwa nini mnatutelekeza hivi? Hivi mmeigomea serikali ama walipa kodi? Je, mliwahi kumwona kiongozi yeyote wa kisiasa akija kwenu kutibiwa? Au hamjui kwamba politicians wanatibiwa Bara Hindi?

maneno yako ni makali tena mazuri, bali na tutafakari pamoja, je; umeyaelekeza kwa mtu sahihi?!, je; na ukilipa bima ya afya unampa daktari?!. Mwambie huyo unaye mlipa bima kila mwezi aitumie pesa hiyo vizuri kuboresha huduma za afya nchini. I mean; kununua vifaa vya kutolea huduma za afya.
 
Imenilazimu leo kutembelea hospitali hizi kubwa nchini na kujionea hali ya mambo ilivyo,

Nasikitika na kustaajabu ya Musa (serikali) kuona inaendesha propagana kuwa mgomo umekwisha ilihali hali ya mambo bado ni mbaya:

HAKUNA huduma zinazoendelea zaidi ya wauguzi tu ndio wapo tena nao wachache!

Nimefika Muhimbili Hospital saa tisa alasiri nikakaa mpaka saa kumi na moja jioni, nikaenda Hospitali ya Ocean Road, ambako nako nimekuta hali ni mbaya!

Anaedanganya umma kuwa huduma zimrejea halitakii mema taifa hili,

Nasema tena mgomo bado upo, labda madaktari warejee usiku huu au kesho!

Seikali ielewe kuwa kanuni ni ile ile watumiayo wa amini wa kiroho:

(waislamu) Huwezi kupata thawa za mwenyezi Mungu bila kuenenda na ktk utakatifu wake!

(Wakristo) Huwezi kwenda mbinguni bila kupita kwa Yesu kristu.

Njia pekee ya kumaliza mgogoro huu ni meza pana yenye kuratibiwa na ulimi wa busara tu!

Ubabe na vitisho havitafanikiwa kwa hili, kitakachoumia ni nyasi tu (wananchi)

Kama huamini nenda Muhimbili au UGUA kisha njoo jukwani hapa useme ulichoshuhudia au kilichokupata!

Mungu lisaidi Taifa na Waja wako!

Hongera mkubwa kwa kutembelea na kutuletea ukweli hapa, serikali na vyombo vya habari vya kizushi wanatupotosha tu.
 
Madaktari, mna habari kwamba tunalipa bima ya afya kila mwezi? Sasa kwa nini mnatutelekeza hivi? Hivi mmeigomea serikali ama walipa kodi? Je, mliwahi kumwona kiongozi yeyote wa kisiasa akija kwenu kutibiwa? Au hamjui kwamba politicians wanatibiwa Bara Hindi?
kwani wewe umewaajili madaktari??madaktari wanamkataba na serikali ambayo wewe na mimi tuliiamini tukaipa nguvu ya kusimamia mambo yote ya nchi,wewe hoji serikali yako & serikali itahoji hao iliyowaajili.
 
Madaktari, mna habari kwamba tunalipa bima ya afya kila mwezi? Sasa kwa nini mnatutelekeza hivi? Hivi mmeigomea serikali ama walipa kodi? Je, mliwahi kumwona kiongozi yeyote wa kisiasa akija kwenu kutibiwa? Au hamjui kwamba politicians wanatibiwa Bara Hindi?
hizo hela zako za bima zinaliwa na nani? hiuo BIMA yako unamlipa daktari au serikali? ilaumu serikali yako kwa kula hela yako ya bima na si madaktari.
 
hizo hela zako za bima zinaliwa na nani? hiuo BIMA yako unamlipa daktari au serikali? ilaumu serikali yako kwa kula hela yako ya bima na si madaktari.

Watu wengi wameelekeza lawama kwa madaktari bila kujua mwenye dhamana ya afya ya mtz ni serikali!
 
Back
Top Bottom