Siyo ya kwao. Sayansi imechangiwa na wazungu, waarabu, wachina, waafrika, wahindi nlHata mie sijasema kuwa huwezi kuizifundisha kwa kiswahili, hoja yangu ni kuwa hata hayo maarifa unayotaka yafundishwe kwa kiswahili ni ya kwao!
mwafrika alicho barikiwa kumuangalia mwenzake si yeyeNi ukweli mtupu tunajidhalilisha wenyewe
1.Tunaweka nywele (mawigi) ili tufanane na wazungu kwa nini tusidharaulike?
2.Tunaweka mikorogo (kujichubua) ili tufanane na wazungu kwanini tusidharaulike?
3.Tunajichora mwili mzima tufanane na wazungu kwanini wasitudharau?
4.Tunasoma shuleni kwa kutumia lugha zao utadhani hatuna lugha zetu mama kwanini wasitudharau?
5.Tunashindwa kusimamia Rasirimali zetu ili kujenga inchi zetu kuwa na uchumi imara kwanini wasitudharau?
6.Tunakosa Uzalendo tunabaguana sisi kwa sisi kwa nini wao wasitudharau?
7.Wahamiaji haramu kila kukicha wanazama Baharini wakielekea kusaka maisha bora ulaya na America wakati sisi ndio wenye rasirimali lakini tumeshidwa kuzitumia Serikali zetu zina viongozi mafisadi wasio kuwa hata na chembe ya utu kwanini wasitudharau?
8.Vijana wanaomaliza vyuo hawajui kesho yao wanatamani kwenda ulaya kusaka maisha bora wakati tuna rasirimali za kutosha kuwasaidia vijana wote lakini viongozi wa Serikali za kiafrika na familia zao wamekuwa ndio wenye haki miliki ya kila kitu vijana masikini hawana mutetezi kwanini tusidharaulike?
9.Gharama za kujiajiri katika inchi za kiafrica kwa vijana wanaomaliza vyuo ni kubwa kwa maana ya kodi katika mamlaka husika mwanafunzi anayemaliza chuo ametoa pesa wapi za kulipa kodi?
10.Kama hatutaki kujenga uchumi imara tunawategemea wao kwanini wasitudharau?
11.Haiti ni maskini wakutupwa wanachojua ni uchawi tuu hawataki kufanya kazi ni kubwia unga na ugolo bangi kwanini tusidharaulike?
MWISHO KAMA HATUWEZI KUWA WAZALENDO KUSIMAMIA RASILIMALI ZETU KUKUZA UCHUMI HATUNA JINSI LAZIMA WATUTUKANE TU.
Tukubali tutukanwe tujue mapungufu yetu tujilekebishe kukuza uchumi wetu.
Hata kitaaluma tunajitosheleza lugha yetu inakuwa kila kukicha kama ikitokea maneno tusiyokuwa nayo tutayaongeza ktk mlolongo wa kukuza lugha tupate majina mapyaHiyo namba 4 haiepukiki. Lugha zetu mfano kiswahili ni kwa mawasiliano ya kawaida tunajitosheleza, lakini kitaaluma bado sana.
Mkuu ni vyema kabisa lakini kama tungekuwa na Serikali zinazo watumia wasomi na RAIA kupata mawazo mbadala tungeshafka mbali ,Taasisi ya FAMILIA imeshindwa kuunda mwafrika anayejitegemea kifikra. Hapa ndipo tatizo linapoanzia sasa kwanini wasitudharau. Kwamfano nyumbani kwako tu huwezi kupaongoza watoto mama baba wanafanya wanavyoamua. Hakuna utaratibu hakuna mipango. Watoto wetu hatuwafundishi kuwa wabunifu, wapenda kazi, wanaoheshimu wengine wanaoheshimu haki za wengine,wawajibikaji, wanaotunza muda wanaothamini wenzao na nchi yao.
Hapa tulipo tuko busy mitandaoni kushabikia michepuko ambayo inaongeza masingle mothers.watoto wa michepuko wakikuwa wanakuwa siyo wawajibikaji, majambazi, wasio na maadili n.k kwakuwa baba na mama hawakuwalea walichepuka tu.
Tuko busy kuangalia matokeo ya matatizo na upumbavu wa mwafrika tukisahau majumbani mwetu tunazaliza wapumbavu walewale. Kazi kunyooshea vidole viongozi. ...sasa unajiuliza kiongozi ametokea wapi? ?
Taasisi ya elimu na dini pia ina mchango mkubwa katika hili.
Ushauri msiangalie mlipoangukia. Angalieni kilichowafanya mkadondoka. Rudini majumbani kwenu mtengeneze watanzania bora ndipo tutakapo heshimika
Kuna vitabu vya kufundishia elimu ya juu ktk lugha ya kiswahili?!Hata kitaaluma tunajitosheleza lugha yetu inakuwa kila kukicha kama ikitokea maneno tusiyokuwa nayo tutayaongeza ktk mlolongo wa kukuza lugha tupate majina mapya
Nakubaliana kabisa nawe mkuu. Matatizo tulionayo chanzo chake ni familia. Katika familia zetu kuna matendo mengi sana mabaya. Kama tujuavyo kwamba, familia ndiyo kilele cha jamii. Kwa hiyo, tabia yoyote tunayoiona hivi leo katika Serikali, Taasisi mbalimbali za umma na binafsi, Jumuiya, na Vikundi mbalimbali ama ni nzuri au mbaya ni kielelezo halisi jinsi familia zetu zilivyo.Taasisi ya FAMILIA imeshindwa kuunda mwafrika anayejitegemea kifikra. Hapa ndipo tatizo linapoanzia sasa kwanini wasitudharau. Kwamfano nyumbani kwako tu huwezi kupaongoza watoto mama baba wanafanya wanavyoamua. Hakuna utaratibu hakuna mipango. Watoto wetu hatuwafundishi kuwa wabunifu, wapenda kazi, wanaoheshimu wengine wanaoheshimu haki za wengine,wawajibikaji, wanaotunza muda wanaothamini wenzao na nchi yao.
Hapa tulipo tuko busy mitandaoni kushabikia michepuko ambayo inaongeza masingle mothers.watoto wa michepuko wakikuwa wanakuwa siyo wawajibikaji, majambazi, wasio na maadili n.k kwakuwa baba na mama hawakuwalea walichepuka tu.
Tuko busy kuangalia matokeo ya matatizo na upumbavu wa mwafrika tukisahau majumbani mwetu tunazaliza wapumbavu walewale. Kazi kunyooshea vidole viongozi. ...sasa unajiuliza kiongozi ametokea wapi? ?
Taasisi ya elimu na dini pia ina mchango mkubwa katika hili.
Ushauri msiangalie mlipoangukia. Angalieni kilichowafanya mkadondoka. Rudini majumbani kwenu mtengeneze watanzania bora ndipo tutakapo heshimika
Mnadanganywa. Wazungu wanarasilimali nyingi sana isipokuwa wanatumia rasilimali zetu kwanza. Zikiisha ndipo wataanza kuchimba za kwao. Kaa ukijua hivyo.Wazungu hawana rasirimali kama tulivyo barikiwa wa afrika chuma, dhahabu, tanzanite,Alma's,shaba,misitu ya kiasili, ardhi nzuri ya kilimo inapatikana Africa