Ukweli au uongo?

Ukweli au uongo?

Hahahaha..... mada imeshika hii... kwikwikwi..... hawa wa ivo ni shoo tuu.

habari ndo hiyo mimi nakuambia sio wa shoo MWANAMKE TABIA..shepu zinauzwa kkoo kw bei ya maandazi wabint wa mujini kila secta tunajua kama udalali wa viwanja ntakueleza wapi vipo vya bei chini na vizuri...ukija kwenye magari ntakushauri ununue lipi kwa bei nzuri na show room gani yapo mazuri na unaangalia ingine je imeshushwa or???km ngapi gari imetembea..inatumia cc ngapi ya mafuta na foleni za bongo .uchi wa gari tunaangalia kama imetiwa chuma,....no gani A,B C kama ni C ni orijino or ishatembea zanzibar...kwenye dini nipo...mishe mishe za hapa na pale z town madili ya leo na kesho najua ...UUUUPSI JE utanioa kwa kuwa cijui club????na sina shepu??

think twice angalia tabia watu na shepu zao waache kuna wanaowapenda na wana tabia nzuri.
 
Utetezi mwingiiii..... hahahahaaaa..... leta mauzo zaidi mama. Kuna tofauti kubwa kati ya maneno na matendo. Think big
 
attachment.php

that wao duh
 
mambo ya Opportunity cost.... Mmmmmh, napita tu hata sina comment zaidi!!!
 
ila jamani si woote wazuri kwamba si wakuoa...Kuna wengine wazuri ukiwaweka ndani wanatulia....Msituseme hivyo si vyema

Samaki mmoja akioza unaweza pata aliyemzuri..
 
Utetezi mwingiiii..... hahahahaaaa..... leta mauzo zaidi mama. Kuna tofauti kubwa kati ya maneno na matendo. Think big

umekuja kweye point kama unajua kuna utofauti wa hayo ya kupasa ujue kuna utofauti wa tabia ya mtu na shepu
 
Shepu zingine mmmh.... presha. Na wazuri sana kimuonekano wana matatizo makubwa kitabia au kiafya.!.
 
Back
Top Bottom