Ukweli ambao Wanawake hawapendi Wanaume waufahamu

Ukweli ambao Wanawake hawapendi Wanaume waufahamu

UKWELI HUU HAPA
Hakuna mwanamke asiyeweza kumtimizia mwanaume lile hitaji halisi la kingono, wala hakuna mwanamke anayeweza kumtimizia mwanaume hilo hitaji zaidi ya mwingine, haijalishi maumbile, rangi, uzuri wa umbo, uzuri wa sura. Wote wako sawa.

Hii ndio maana wanawake kwa kujua au bila kujua wanalazimika kujipamba sana ili angalau wawe tofauti na wengine, na bahati mbaya wanaume wanadanganyika kwa mwonekano tofauti wa nje wakidhani watapata cha tofauti. Waulize walioingia milango mingi watakushuhudia kuwa hawakupata zaidi ya mahitaji yao eti tu kwa kuwa waliingia milango tofauti.

Ndo maana utasikia kwa wanawake walioolewa wakiwaambia waume zao waliochepuka, ulikosa nini kwangu. Huwa wanawake hawa hutumia sentensi hii sahihi pasipokujua kuwa wako sahihi kwa wanachosema.

Karibuni tujadiliane!
Wanatofautiana sana kuna dem nilishindwa kujizuia ikabidi nimuulize unapakari ndani mbona kichwa kinabanwa sana niliibiwa siku hiyo maana wazungu walikuja muda si sio ikabidi niwaitishe was SADC nizungumze nao kidogo
 
Back
Top Bottom