Ukweli ambao prof.Muhongo ameficha

Ukweli ambao prof.Muhongo ameficha

nzovweyetu unaye mtetea hana maana na ni mwongo!!
Angelikuwa na busara kwa nini asitumie fedha za ESCROW kununua mitambo ya IPTL badala ya kubuni mbinu za kuliibia taifa na kuliingizia hasara kubwa hivyo??
Hiyo sio siasa ni wizi pure, wacha kutetea wezi, wacha Wawajibishwe!!
 
Last edited by a moderator:
Kuna majina ukiwapa watoto lazima ya haribu maisha yao.
 
Muhongo alete bungeni Mikataba ya gesi ya Mtwara na bomba la gesi kama ni muwazi sio mwizi??
Mikataba ya STATOIL, iko wapi wapi anaona WaTZ wote wajinga yeye ni Prof!!
Mwizi huyo hafai hata kidogo, hana uadilifu!!
 
Akiwa Kama Waziri Wa Wizara Hiyo Majukumu Yake Ni Yapi? Anatakiwa Kusimamia na Kutekeleza au Kubuni? Jaribu Kutumia Hata Akili Kidogo Tu Kuliko Kulalamika Wewe Mama. Huoni Kama Mgao Wa Umeme Umepungua? Huoni Kama Umeme Umefika Vijijini Kwa Wingi Na Kwa Muda Mfupi. Kwenye Mambo Ya Msingi Achana na Siasa Za Maji Taka Zisizokuwa Na Tija. Ndo Nyie Msiolitakia Mema Hili Taifa.
Angalia Sana We Mama(Salary Slip)


Hii nchi ina mipango mingi mizuri kwa kila wizara tatizo ni rushwa na bahasha wanazopewa wasimamizi wakiwemo mawaziri.
Hapa ndipo kitanzi cha kuliangamiza taifa kilipo.Muhongo naye ameshindwa kujizuia na vishawishi na ahadi za wafanyabiashara hawa wenye madili ya kuvuna mabilioni kwa sekunde. Pangekua na sheria kali Muhongo angepaswa awe ameshauawa na kaburi lake lisijulikane lilipo kwa kutumia elimu yake kujinufaisha na kuwalinda walioshiba kwa ahadi za rushwa.
Ajiuzulu tu mana hata balali alikua msomi aliyebobea lakini aliingizwa kingi.Huenda naye walitumia matapeli wasomi mahiri zaidi wa kisheria na mikataba kumlainisha bila kujua kwamba wasomi ni rahisi sana kutapeli na kutapeliwa kuliko masela wa kijiweni.

Muhongo kubali yaishe ili mjadala ufungwe. Hufai kuendelea kukalia kiti cha uwaziri umechafuliwa na ukachafuka.
''' Pepo la Muongo tokaaa kwenye ofisi kwa jina la PAC''.!!!!!
 
Chabruma ni ajabu kwani Mengi alimpeleka Kunduchi Beach na Board ya TANESCO kupanga wizi wa ESCROW??
Muhongo ni mwizi, Watu sio wajinga, uwekewe na video ya mpango mzima wa wizi???
 
Last edited by a moderator:
Akisema zitto muhongo ni muongo hamtaki mpaka aseme mbowe hapo mnajichanganya.
 
Chanzo Nipashe chanye Conflict of Interest na the whole issue ya Muhongo.

This is irresponsible journalism
 
bagheshi bei halisi ya kujenga bomba toka Mtwara hadi Kinyerezi Dar ni USD$ ngapi??
Mwambie Muongo apeleke Mikataba bungeni kama si mwizi??
 
Last edited by a moderator:
Chanzo Nipashe chanye Conflict of Interest na the whole issue ya Muhongo.

This is irresponsible journalism

Hii habari inatekeleza usemi wa MTUMIKIE KAFIRI UPATE MRADI WAKO.
 
Watanzania hebu muanze kutumia akili walau kidogo, hao waliomtangulia wao kazi yao ilikuwa kupanga tuuuu kipindi chao chote walichokaa bila kutekeleza ?

Kwamba walitamani kupunguza mgawo wa umeme, walitamani kupunguza bei ya kuwekewa umeme, walitamani kupeleka umeme vijijini...kama ndivyo basi ni dhahiri kuwa walihitaji kuondoka na kupisha mtekelezaji.

Ni lini mmeanza kutoa credits kwa mipango, ahadi na matamanio ? au ni kwa Prof Muhongo tu ? hao mawaziri woote wasiotekeleza wajibu wao huwa mnawapongeza kwa ahadi na mipango yao mizuri ya miaka nenda rudi ?

Watanzania tuache unafiki.
 
Aliniacha hoi pale bungeni akileta utetezi wa serikali sakata la Escrow,pamoja na uwongo,akadanganya bunge kuwa CAG alishauri Tanesco wafute deni la Escrow kwenye hesabu.wakati ukweli ni hauko ivo bali walishauriwa waiweke kama Contigent Liabilities.huyu jamaa daah
 
Back
Top Bottom