Ashki Majununi
Member
- Nov 27, 2014
- 73
- 21
Ndio nini hiki ulichokiandika sasa yaani wewe kila neno unaanza na herufi kubwa au ndio masharti ya Lumumba hayo???Akiwa Kama Waziri Wa Wizara Hiyo Majukumu Yake Ni Yapi? Anatakiwa Kusimamia na Kutekeleza au Kubuni? Jaribu Kutumia Hata Akili Kidogo Tu Kuliko Kulalamika Wewe Mama. Huoni Kama Mgao Wa Umeme Umepungua? Huoni Kama Umeme Umefika Vijijini Kwa Wingi Na Kwa Muda Mfupi. Kwenye Mambo Ya Msingi Achana na Siasa Za Maji Taka Zisizokuwa Na Tija. Ndo Nyie Msiolitakia Mema Hili Taifa.
Angalia Sana We Mama(Salary Slip)
kweli wajinga kama wewe ndio mtaji wa sisiemu.