Ukwaju ni kiboko ya kitambi

Wew ulikuwa na tatizo la choo sio kitambi..!..kitambi ni mafuta na hujaeleza jinsi gani ukwaju unachoma mafuta mwilini... Unazungumzia tu kwenye kunya kitambi hakipungui kwa kunya.'
 
Binafsi natumia apple cider vinegar"with mother" kakitambi kangu kanasepa taratibu na kazoezi na kukata tumbo pia
 
Nina green tea ina miezi minne kila nikiwaza kuinywa nikiwaza shughuli yake na muda wa kuinywa mpaka vitu vyote viishe nashindwa. Nitajaribu juice ya ukwaju.
Naiandaaje kwanza?
Mzigua na wengine mnaokunywa green tea siwashauri maana ni bora unywe hata ukwaju au ufanye mchanganyiko wa matango,limao/ndimu,tangawizi na giligilani.Huo mchanganyiko ni super unasafisha figo,unapata choo,chakula kinasagika fasta na pia metabolism ya mwili inakuwa imeboreshwa.
 
Mbona mimi nina kitambi na kila nikienda chooni nashusha mzigo wa uhakika, tena mara mbili kutwa na kula yangu ya kawaida tu.
 
Mbona mimi nina kitambi na kila nikienda chooni nashusha mzigo wa uhakika, tena mara mbili kutwa na kula yangu ya kawaida tu.
duh wewe unastahili maombi ya kufunga na kukesha kuondoa hilo tumbo lako mkuu
 
"Kuna wadau walishanieleza kwamba kitambi some time ni mlundikano wa kinyesi tumboni kwa uvivu wa kwenda chooni" khaaa!!!
 
Mkuu nisaidie maandalizi yake maana nina mshikaji mazoezi yamegoma kutoa kitambi
 
Wachina wanakula sana ukwaju na matumbo yao ni flat. Pia wana kunywa green tea baada ya kula.
Hahaha lakini kula muhimu dada, hayo mambo ya kureplace kula eti unakunywa green tea ni kujitesa.
Sasa wataanza kula lini?!
 
Wanakunywa green tea mara baada ya kula inasaidia digestion
Ahaa okay, nilidhani green tea ndio msosi.
Na unajuaje kama digestion ni nzuri au sio nzuri. Binafsi hata nikila vijiko viwili tumbo hilo, nahisi gas lakini haitoki bali ninakiwa na extended belly sijui ndio kitambi?!
 
Mmh gas ni waste product kama jasho, choo kikubwa na kidogo. Ikiwa nyingi Karibu kubadili chakula, kula mboga za majani na matunda kwa wingi.
 
Mmh gas ni waste product kama jasho, choo kikubwa na kidogo. Ikiwa nyingi Karibu kubadili chakula, kula mboga za majani na matunda kwa wingi.
Naweza kusema nakula hivyo ulivyosema, Ila mazoezi nimeacha kwasababu ya muda, still ngoma inapanda juu tu. Pombe sinywi often ni occasional drinker
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…