UKUTA yazidi kupata wafuasi

UKUTA yazidi kupata wafuasi

ukawa2020

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
339
Reaction score
1,315
Huku wananchi wengi wakizidi kusubiri kwa hamu operation UKUTA inayotarajiwa kuanza tarehe 1/9 chama cha demokrasia na maendeleo kupitia kwa kiongozi wa kamati ndogo ya ukuta prof baregu wameonyesha mafanikio makubwa

Mara hii wamepata uungwaji mkono kutoka kwa taasisi za kidini ambazo nazo kwa pamoja watato tamko lao siku ya ijumaa wiki hii

Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar es salaam nzima siku ya tarehe 31.8.2016 mkesha utakuwa kwenye viwanja vitatu Jangwani , Mwembeyanga na Tanganyika Pekazi. Huku mikoa ya Mwanza, musoma, arusha, mbeya na morogoro wakiendelea kupanga mikakati mkesha


//wana Dar es salaam karibu kwenye mkesha Mkubwa wa UKUTA
 
Atajuta kuwachezea Chadema! Mbinu mwanzo mwisho. Mimi nawskarobisha kwenye mkesha huko Makete. Tutachinja mbuzi 20 na Ng'ombe wawili kwaajili ya supu na nyama choma.Kikicha wakute Barbara zote tumejaaa.
Ntaendelea kuwapa mikakati zaidi kuhusu ukuta. Wasanii watakuwepo kutumbuiza kwanyimbo mbali mbali za amass kwenye mikesha hiyo inayaoendelea kuratibiwa nchi nzima
 
Wakati huo huo CHADEMA wametangaza mkesha Mkubwa na bendelea kupepea dar
Hawana kazi nyingine ni huo mkesha utakuwa wa kunywa viroba vya bure na kuporomosha matusi kwa watanzania waliojipumzikia majumbani.
 
Back
Top Bottom