ukuta vipi jamani umebomoka? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ukuta vipi jamani umebomoka?

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Sep 1, 2016.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Sep 1, 2016
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,429
  Likes Received: 4,307
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. iw8

  iw8 JF-Expert Member

  #2
  Sep 1, 2016
  Joined: Jun 3, 2016
  Messages: 370
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 80
  Ukuta umepigwa radi.
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  Sep 1, 2016
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,895
  Likes Received: 31,442
  Trophy Points: 280
  Hiyo picha imenichekesha sana.

  Hapo namwona Ngosha kwenye usukani...halafu namwona kamanda Siro...Babu Lowassa yuko nyuma ya ukuta anakula chabo...Mbowe na Lissu wapo pale kwa juu...sijui yule mwenye kapelo pale juu ndo yule katibu mkuu wao mpya...hao wengine wanaokula kona sijui ndo akina Sugu na Prof. J.

  Imenipa burudani sana hii picha:D:D:D:D:D.
   
 4. Sky Eclat

  Sky Eclat JF-Expert Member

  #4
  Sep 1, 2016
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 17,549
  Likes Received: 41,061
  Trophy Points: 280
  Mwenye kapelo ni Mnyika huoni moustache mkuu? Na huyu anaekimbilia kwa babu nyuma ya ukuta naona ni Lema. Nyani Ngabu
   
 5. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #5
  Sep 1, 2016
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,895
  Likes Received: 31,442
  Trophy Points: 280
  Oh wow...huyo Lema kwani keshapona? Hahaaa...just kidding.

  Ila hawa watu wa hivi vikatuni huwa wanachekesha sana.

  Hiyo ya babu Lowassa nyuma ya ukuta akimlia chabo Ngosha ndo imenichekesha mno.
   
 6. Totos Boss

  Totos Boss JF-Expert Member

  #6
  Sep 1, 2016
  Joined: Dec 30, 2012
  Messages: 4,350
  Likes Received: 566
  Trophy Points: 280
  Nilichojifunza zaidi hapa kumbe wakati wa kuuvunja wanaoanguka vibaya sio kina Mamvi, Mbowe, wala Lisu . Na hii ndio inatoa picha ya CHADEMA kwa ujumla wakati wa vurugu
   
 7. Dinazarde

  Dinazarde JF-Expert Member

  #7
  Sep 1, 2016
  Joined: Jan 1, 2014
  Messages: 28,315
  Likes Received: 6,214
  Trophy Points: 280
  Hahahahahahahaha
   
 8. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #8
  Sep 1, 2016
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,127
  Likes Received: 640
  Trophy Points: 280
  km Msigwa vile
  ngoja nimuulize mchoraji
   
 9. barafuyamoto

  barafuyamoto JF-Expert Member

  #9
  Sep 1, 2016
  Joined: Jul 26, 2014
  Messages: 18,546
  Likes Received: 10,160
  Trophy Points: 280
  Ukuta ulijengwa kwenye mchanga!!
   
 10. Sky Eclat

  Sky Eclat JF-Expert Member

  #10
  Sep 1, 2016
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 17,549
  Likes Received: 41,061
  Trophy Points: 280
  Msingwa amedondosha karai la zege mkuu.
   
 11. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #11
  Sep 1, 2016
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,254
  Likes Received: 3,028
  Trophy Points: 280
  Mwisho wa ubaya aibu, surely!?
   
 12. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #12
  Sep 1, 2016
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 71,895
  Likes Received: 31,442
  Trophy Points: 280
  Duh kumbe huyo ni Msigwa?

  Kweli Ngosha ni noma.
   
 13. w

  wise-comedian JF-Expert Member

  #13
  Sep 1, 2016
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,330
  Likes Received: 2,392
  Trophy Points: 280
  Hawa macartoonist ni wachochezi,chadema imshitaki huyu mchoraji
   
 14. G

  Guasa Amboni JF-Expert Member

  #14
  Sep 1, 2016
  Joined: Aug 13, 2015
  Messages: 6,704
  Likes Received: 6,955
  Trophy Points: 280
  Sasa hiyo ngazi imevunjika kabla hata haijaguswa au zile hekaheka za kushuka ikavunjika?
   
 15. F

  Fursa Pesa JF-Expert Member

  #15
  Sep 1, 2016
  Joined: May 30, 2012
  Messages: 2,099
  Likes Received: 613
  Trophy Points: 280
  We ni mchangiaji mzuri sana.
  Kuna wakati members wanakuelewa vibaya lakini tulio wengi tunauthamini mchango wako.
   
Loading...