Ukumbuka enzi hizi

Ukumbuka enzi hizi

ntobistan

Member
Joined
Mar 9, 2011
Posts
55
Reaction score
1
Habari za Asubuhi wanaJF.Nimekaa sana bila kuwakumbusha vitabu vya enzi hizo zilizokuw zimeandikwa kwa Mfano Mwanangu Pepe huna masikio,Awafu mwenye nguvu,Siku ya Gulio katelelo,Chopeko na Mnofu,Sizitak mbivu hizi,Mzee tola na familia yake,MwanaJF nazan asub hii nimekukubushia mbal sana.
 
juma na roza,mabara the farm,bulicheka na mkewe elizabeth.
 
Habari za Asubuhi wanaJF.Nimekaa sana bila kuwakumbusha vitabu vya enzi hizo zilizokuw zimeandikwa kwa Mfano Mwanangu Pepe huna masikio,Awafu mwenye nguvu,Siku ya Gulio katelelo,Chopeko na Mnofu,Sizitak mbivu hizi,Mzee tola na familia yake,MwanaJF nazan asub hii nimekukubushia mbal sana.

Siku ya Gulio Katerero, Sizitaki mbichi hizi!
 
Kibanga ampiga mkoloni, sumbi mvivu, kanza achora kny mawe, pamela na kipini
 
Paulo una mikono michafu
Hadithi za Abunuas
Kijiji cha Mtakuja
Upepo kijijini kifaru!
 
Kibanga ampiga mkoloni, sumbi mvivu, kanza achora kny mawe, pamela na kipini

Unamkumba yule dogo anaitwa Pazi mkorofi sana alikuwa na tabia ya kubeba kuku miguu juu kichwa chini Jogoo kamuadhibu Pazi kwa tabia yake. unamkumbuka baharia piusi na kitabu chake
 
Juma na Roza! Wengine tukabatiza viatu fulani toka "BORA SHOES" kwa majina haya mawili.
 
Mashimo ya Mfalme Suleiman, Allan Querterman, Alf-lela ulela, ...
 
Mnakumbuka hivi vitabu,
Mkenge na mkengeni, kingine Shamba la bwan elly. kingine Bibi tarabushi...endeleza
 
Nondo mla watu,Msemakweli achaguliwa kuwa Diwani,Maganga Shujaa,Sadiki na Sikiri(Safari yenye Mikosi),Hawa the Bus Driver,Kusafiri,Ufugaji wa kuku,Dagaa,Matete na Mpapai
 
Habari za Asubuhi wanaJF.Nimekaa sana bila kuwakumbusha vitabu vya enzi hizo zilizokuw zimeandikwa kwa Mfano Mwanangu Pepe huna masikio,Awafu mwenye nguvu,Siku ya Gulio katelelo,Chopeko na Mnofu,Sizitak mbivu hizi,Mzee tola na familia yake,MwanaJF nazan asub hii nimekukubushia mbal sana.

Dah? We mshkaji nimekuvumilia sana, hv huwa unatype na vidole vya miguu nini. Yaani zogo tupu, huachi nafasi kati ya maneno, unachanganya herufi kubwa na ndogo, hutofautishi r na l, z na dh, abari na habari, yaani post inaleta kichefuchefu. Aaaaaagh,.... Halafu nawe wajiita Great Thinker?
 
Je na ile hadithi ya LUCI na DAMASI mnaikumbuka?
 
brown ashika tama,ndoto za kimweri,pioneers meeting in zanzibar,mr all of you,mweka nadhiri na shetani,siafu wadudu wenye maajabu
enzi hizo primary bakora mtindo mmoja,mwalimu adui,hadi leo kabeef na walimu kapo kwa mbali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom