wote mnakaribishwa, ni mzuri sana, bei nafuu (bei ya umma), parking nje na ndani
Watu wengine sijui mlisomea wapi marketing...
Unaweka tangazo la biashara ya ukumbi lisilo na bei, picha, uwezo wa ukumbi, huduma nyinginezo kama vyakula etc...
Mkuu,masoko yametofautiana,ilo ni la Tandale.