Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,454
- 872,084
Wewe kama mwanaume unapendelea kufuga ukucha wa kidole gani? Kwanini? Ni hobbie tu au? Kwa akina mama hufuga kucha kama sehemu ya urembo lakini pia zikitumika mno kuleta sensational feelings huko mahabani, hivyo basi ukiamua kufuga kucha kwa sababu yoyote ile kumbuka kuziweka katika hali ya usafi muda wote. Kucha zikiwa chafu huleta kinyaa cha ajabu, kama huwezi kutunza ukucha wako ni afadhali uukate tuu