chloe.obrain JF-Expert Member Joined Feb 25, 2010 Posts 391 Reaction score 21 Jul 2, 2010 #2 ha ha ha, jamani wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba ati. mwenzangu huko ulikokuwa jana usirudi tena, maana duh...........!!!!!!!!!!
ha ha ha, jamani wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba ati. mwenzangu huko ulikokuwa jana usirudi tena, maana duh...........!!!!!!!!!!
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Jul 2, 2010 Thread starter #3 chloe.obrain said: ha ha ha, jamani wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba ati. mwenzangu huko ulikokuwa jana usirudi tena, maana duh...........!!!!!!!!!! Click to expand... Kwani vipi tena wa kwetu?
chloe.obrain said: ha ha ha, jamani wote tumeumbwa kwa sura na mfano wa Muumba ati. mwenzangu huko ulikokuwa jana usirudi tena, maana duh...........!!!!!!!!!! Click to expand... Kwani vipi tena wa kwetu?
chloe.obrain JF-Expert Member Joined Feb 25, 2010 Posts 391 Reaction score 21 Jul 2, 2010 #4 Masikini_Jeuri said: Kwani vipi tena wa kwetu? Click to expand... mh! Post zako leo mie hoi, yaani nshacheka hadi nimehisi njaa lol!
Masikini_Jeuri said: Kwani vipi tena wa kwetu? Click to expand... mh! Post zako leo mie hoi, yaani nshacheka hadi nimehisi njaa lol!
Chamoto Platinum Member Joined Dec 7, 2007 Posts 9,883 Reaction score 22,305 Jul 2, 2010 #5 Mbona hii imekuwa doctored
Mzizi wa Mbuyu JF-Expert Member Joined May 15, 2009 Posts 7,472 Reaction score 7,275 Jul 2, 2010 #6 Vuvuzela!!??
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,331 Jul 2, 2010 #7 Masikini_Jeuri said: View attachment 11521 Click to expand... ....si wingi wa kamasi lol!
klorokwini JF-Expert Member Joined Dec 2, 2009 Posts 8,647 Reaction score 5,147 Jul 2, 2010 #8 dah jamaa ana ngoma 52" flat skrini. itakuwa hata harufu ya kikwapa cha jirani jamaa anaiskia. fulu mnuso magnet.
dah jamaa ana ngoma 52" flat skrini. itakuwa hata harufu ya kikwapa cha jirani jamaa anaiskia. fulu mnuso magnet.
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Joined Jan 19, 2010 Posts 6,827 Reaction score 1,314 Jul 2, 2010 Thread starter #9 Ukiwa na pua kama hii waweza nusa harufu ya pilau mtaaa wa saba!
Genekai R I P Joined Feb 9, 2010 Posts 12,514 Reaction score 5,006 Jul 2, 2010 #10 Jamani huu sasa ulemavu, nasikia huyu jamaa kwao ndo anaonekana kuwa na pua ndogo!
TzPride JF-Expert Member Joined Nov 2, 2006 Posts 2,616 Reaction score 1,172 Jul 3, 2010 #11 Majaaliwa tu hayo....mbona mtu akiwa na nanii kuubwa anaona fahari! Japo wengine ukimsifia nani yako kubwa nakasirika anataka aambiwe ndogo....mimi nachanganyikiwa, wengine vikubwa wanapenda wengine wanapenda vidogo, hata kama yeye ni mkubwa!
Majaaliwa tu hayo....mbona mtu akiwa na nanii kuubwa anaona fahari! Japo wengine ukimsifia nani yako kubwa nakasirika anataka aambiwe ndogo....mimi nachanganyikiwa, wengine vikubwa wanapenda wengine wanapenda vidogo, hata kama yeye ni mkubwa!
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 416 Jul 3, 2010 #12 Duh! No comment!!!:lie:
Bigirita Platinum Member Joined Feb 12, 2007 Posts 16,043 Reaction score 7,477 Jul 3, 2010 #13 Duuuh!!! kama haijawa doctored, basi jamaa amejaali!!!
Kimbweka JF-Expert Member Joined Jul 16, 2009 Posts 8,597 Reaction score 1,692 Mar 17, 2011 #14 Masikini_Jeuri said: View attachment 11521 Click to expand... Huyu lazima ni segitoh
Indume Yene Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 2,968 Reaction score 727 Mar 17, 2011 #15 Angeweza kupunguza kipande kidogo kutoka kwenye pua yake akaongezea kwenye sikio lake la kulia.
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Mar 17, 2011 #16 usikosoe maumbaji ya bwana mungu wako
triza Member Joined Nov 11, 2010 Posts 41 Reaction score 4 Mar 18, 2011 #17 ukubwa wa pua sio wingi wa makamasi