Ukubwa wa dunia ukilinganisha na galaxy yetu

Ukubwa wa dunia ukilinganisha na galaxy yetu

1743439778756.png
 
Pluto ni sayari au sio sayari
Pluto sio sayari

Sayari no lazima iwe na sifa hizi tatu:

1. Umbo la tufe (umbo duara dufu kama chungwa) pluto✅✅

2.Lazima izunguke jua, na sio sayari nyingine, Hapo pia Pluto✅✅

3. Lazima njia yake iwe safi, yaani isiwe miongoni mwa magimba mengi kwenye njia moja kuzunguka jua, Hapo pluto ❌❌❌

Ni kwenye hiyo sifa ya tatu ambapo Pluto inafeli kuwa Sayari
 
Sasa sisi tuliosoma enzi za mwalimu tuliambiwa pluto ni sayari
 
Nani alienda huko kipima hiyo galaxy ndio akagundu kuwa ni kubwa kuliko Dunia? Acheni kuparamia nature msije potea kama Juma Nature
UZuri kila jambo kwenye sayansi haliwezi kuandikwa hadi kuwe na ushahidi, so kila uchokiona kwenye sayansi kinakuwa na ushahidi wa nadharia na mazingira bro
 
Ndiyo jua ni kubwa kuliko dunia.maana Kwa umbali lilipo jua Hadi Dunia ni km150 milioni lakini Bado tunaliona ni kubwa.Tofauti na Dunia.Hili limedhibitishwa na wanaanga ambao wameweza kufika sayari ya mars pamoja na Mimi nitadhibitisha mwaka 2027 nitakapo enda huko mars.maana wao kadri wanavyopaa kwenda juu ndiyo Dunia Inaonekana ndogo zaidi Hadi kufikia kama kufanana na punje ya mchanga
Mkuu Kama utaitaji company Kwa trip yako ya mars
 
Nimesikitika sana kwamba miaka yote nimefundishwa Pluto ni sayari, halafu leo wanangu wanafundishwa Pluto siyo sayari na sayari zinaishia 8 tu.

Nyie Wanasayansi uchwara mmesababisha wanangu watuone mimi na Walimu wangu ni vilaza. Pumbavu zenu sana.
Muambie sayansi inabadilika, sio kama msahafu.
 
Back
Top Bottom