Secret Star
JF-Expert Member
- Jul 1, 2011
- 1,868
- 2,117
Km mwanga wake unachukua miaka mamilion hvo wao walijuaje km iko hvo?mambo mengne nikulishana matango pori tu
Thibitisha,Dunia ni flatkama chapati
Kiuna Aina ya watu wasikupotezee mda hawaelewekiThibitisha,
Tuliwahi kufundishwa kuwa pluto ni sayari ghafla wazungu wakasema sio sayariKiuna Aina ya watu wasikupotezee mda hawaeleweki
Pluto ni sayari au sio sayariThibitisha,
Wanajua hatuwezi kubisha maana hatuna knowledge ma hayo mamboWazungu wanatuongopea sana kuhusu Universe.
Milk way mara galaxies ,mara kwenye universe kuna galaxy kibao....sisi tupo kwenye milk way ,mara kuna majua kibao , mara nyota nazo ni jua...mara jua ni nyota.
Km mwanga wake unachukua miaka mamilion hvo wao walijuaje km iko hvo?mambo mengne nikulishana matango pori tu
Akili hatunaWanajua hatuwezi kubisha maana hatuna knowledge ma hayo mambo
Hahahaha,iweke vzr nimeipendaDunia ni flatkama chapati
Mkuu unaonekana Una akili ila haupo serious! Ukiacha wenge unaweza kutengeneza Asali kama Nyuki. Acha kuwa Nzi.Wazungu wanatuongopea sana kuhusu Universe.
Milk way mara galaxies ,mara kwenye universe kuna galaxy kibao....sisi tupo kwenye milk way ,mara kuna majua kibao , mara nyota nazo ni jua...mara jua ni nyota.
Haya yote yana tija gani kwenye maisha ya kawaida? Mliosoma Jogorafia mmesoma vitu vya kipumbavu!Mwanga wa sayari hupimwa kwa kutumia vipimo maalum vinavyozingatia mwangaza wake wa jumla, mwangaza unaoakisiwa, na mwangaza unaofyonzwa. Njia kuu za kupima mwanga wa sayari ni:
- Mwangaza wa Kiasi (Apparent Magnitude) – Huu ni mwangaza wa sayari jinsi unavyoonekana kutoka Duniani. Unapimwa kwa kutumia vyombo kama fotometri au kamera za darubini. Kadiri thamani ya magnitude inavyokuwa ndogo, ndivyo sayari inavyoonekana kuwa na mwangaza mkubwa.
- Mwangaza Halisi (Absolute Magnitude) – Hii ni kipimo cha mwangaza wa sayari ikiwa ingekuwa umbali wa parsec moja (takriban miaka mwanga 3.26) kutoka kwa mtazamaji.
- Albedo (Reflectivity) – Ni kipimo cha kiasi cha mwanga wa Jua kinachoakisiwa na uso wa sayari. Sayari zilizo na albedo kubwa huakisi mwanga mwingi (mfano: Venus), ilhali zile zenye albedo ndogo zinaakisi mwanga mdogo na huonekana hafifu.
- Spektrometri – Hutumika kupima mwangaza wa sayari kwa kugawa mwanga wake katika rangi na mawimbi tofauti. Njia hii husaidia pia kubaini vipengele vya angahewa ya sayari na muundo wa uso wake.
Kwa kutumia vyombo vya kisasa kama darubini za anga (Hubble, James Webb) na vipimo vya infrared, wanasayansi wanaweza kupata taarifa sahihi zaidi kuhusu mwanga wa sayari na sifa zake.
Sidhani kwakeli..sanasana naona labda kama mara 10 tu hivi..Ivi hata kwa macho tu ya kawaida toka kesho nje alafu angalia jua... kweli lina ukubwa wa mamilioni ya size kuliko Dunia ?
Mzee wa jinsi ya kula tunda kimasihara hapa lazima utoke kapa.Km mwanga wake unachukua miaka mamilion hvo wao walijuaje km iko hvo?mambo mengne nikulishana matango pori tu