Ukubwa wa CAF Confederation Cup

Gordian Anduru

JF-Expert Member
Apr 16, 2021
334
657
Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.

ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.

Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.

Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.

Screenshot_20221110-000813_Chrome.jpg
download.jpeg
 
Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.

ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.

Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.

Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.

View attachment 2411866View attachment 2411867
Mambo mepesi sana haya:

1: Mwaka jana wakati wenzio wanakueleza hayo, wewe ulikuwa wapi?

2: Mwaka huu wakati unaelezwa hayo wewe uko wapi?

Ni challenge tu unaelezwa usibweteke kwa ulichonacho kulingana na wakati husika.

So, its a valid challenge at a given time.
 
Alafu saa hizi wanaiita ligi ya walioshindwa!

Haya maisha haya!
Muwe mnatunza kumbukumbu basi, aliyesema ni kombe la walioshindwa ni haji manara akiwakebehi simba, leo hii yanga anashiriki mnaliona ukubwa wake
 
Ni Uhujumu Uchumi, ndio ni Uhujumu Uchumi wa Kodi za Watz Kuzawadia Goli La Confederation 5M Sawa Sawa Na Goli La Champions League.

Hii Huko Mbele tutakapopata 'KATIBA Mpya' Tutahoji...!

Hawa Yanga Kwenye hatua hii ilitakiwa Kila Goli wapewe 1 M..!

Ni Kama Zawadi Za CAF Vile , Simba mpaka Sasa ana 1.5 B, Yanga milioni mia sita.
 
Kelele zote ulizokuwa unazisikia mwaka jana ilikuwa ni Confederation Cup.

ukisikia Sakho kashinda goli bora la CAF basi ujue alilipatia kwenye Confederation Cup.

Ukisikia sijui Simba timu ya kwanza kutumia VAR mechi na Orlando, hiyo mechi ni CAF Confederation Cup.

Mwaka huu Yanga imefanikiwa kutinga ROBO FAINALICAF Confederation Cup.

View attachment 2411866View attachment 2411867
Utapata kifafa cha mimba kwa kuiwaza Simba

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kamuulize kwanza Msukule wenu domo kunuka a.k.a Manara kwamba kwanini uliliita kombe la shirikisho ni kombe la waliofeli. Akikujibu ndipo uje sasa utuelezee huu uchafu wako umeutoa wapi.
 
Back
Top Bottom