Ukubwa na maana yake. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ukubwa na maana yake.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Nazjaz, Jan 24, 2011.

 1. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #1
  Jan 24, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Ukubwa haimaanishi umri kwenda tu.
  Ukubwa una maana nyingi, kulala uchi, kufanya maamuzia magumu, kujihukumu mwenyewe kutokana na maamuzi yako, na kadhalika.
  Ukubwa ni jalala, ujilee, umlee mwenzi wako, watoto wako, wa mwenzi wako, wazazi wako na wazazi wake, pia uwalee majirani pia.
  Ukubwa sio kumlazimisha mwenzako afanye usicho kiweza, ila wewe ufanye kile ambacho kimemshinda mwenzi wako.
  Ukubwa maana yake kuchagua, kuwa fukara au tajiri, ukishindwa kuwa tajiri wa mali chagua kuwa tajiri wa furaha, amani na upendo.
  Ukishindwa kumpenda mke wako, huwezi kumpenda wa mwenzako, hata ukimpata utammega kisha utamuacha.
  Ukubwa ni kuishinda tamaa na kiu ya mwili.
  Ukubwa ni kuongoza na kushauri.
  Ukubwa ni jalala, thats why natamani kuwa malaika kama shosti wangu jide alivyosema.
  Je wewe kwako ukubwa una maana gani?
   
 2. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #2
  Jan 24, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Natamani kuwa bwana wako
   
 3. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #3
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Mbona umeegemea sana upande mmoja Naz???!!!
  Pls ongelea na upande wa pili!!!
   
 4. TATIANA

  TATIANA JF-Expert Member

  #4
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 4,103
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  mwaga sera ujaribu bahati yako. Lol...
   
 5. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #5
  Jan 24, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  ukubwa shimo la taka,
  kila mtu anatupia mazagazaga yake humo!!!lol.....
   
 6. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #6
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Yote sawa kabisa mamito, ila hapo kwenye nyekundu ni kuwa mwangalifu zaidi... usikubali kufanywa jalala na kila mtu... wengine wanakugeuza choo kabisa!!!!:shock:
   
 7. M

  Mike 1234 JF-Expert Member

  #7
  Jan 24, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 1,634
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ndio ukubwa ni kila kitu so inahitajika akili ya ziada, wakilala njaa tu unalo hilo
   
 8. Konakali

  Konakali JF-Expert Member

  #8
  Jan 24, 2011
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 1,508
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  naona hii message imewekwa hapa kumfikia mtu maalum.... sio wote.... aidha, pole kwa yaliyokukuta.... lakini nawe ukubwa sio kukimbia kosa wala sio kutangaza ufa wenu.... bali ni kukabiliana na ufa huo kwa kutumia silaha kama vile; uvumilivu, umakini, ujasiri na maombi kwa wingi na malengo....!
   
 9. Eng. Smasher

  Eng. Smasher JF-Expert Member

  #9
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 746
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Nimelipenda hili POZI babu Lao!!!
  [​IMG]
   
 10. V

  Vumbi Senior Member

  #10
  Jan 24, 2011
  Joined: Nov 7, 2010
  Messages: 191
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Thanx umenena.

  Ukubwa ni dhamana ambayo mtu anatakiwa kuitekeleza kutokana na uwezo alionao eg kiakili, kiuchumi, kiutendaji, uwajibikaji, kifikra, ki-upendo na hata kubeba dhamana za wenginge kwa maslahi ya waliowengi. Lakini lazima suala lenyewe liwe ndani ya uwezo wake na lenye maslahi chanya.
   
 11. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #11
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Sijaelewa hapo kwenye red au mie bado mdogo????
   
 12. Mu-sir

  Mu-sir JF-Expert Member

  #12
  Jan 24, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 3,633
  Likes Received: 471
  Trophy Points: 180
  well said! Big up.
   
 13. Nazjaz

  Nazjaz JF-Expert Member

  #13
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 5,345
  Likes Received: 1,140
  Trophy Points: 280
  Hapa hapati mtu , hata akitoa chapaa
   
 14. bacha

  bacha JF-Expert Member

  #14
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 19, 2010
  Messages: 4,336
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  sasa wewe Nazjaz unachotaka ni nini?
  kama hata chapaa hutaki?

  BTW:UNAWEZA KUWA MPANGO WANGU WA NJE?
   
 15. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #15
  Jan 25, 2011
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 0
  Kweli kaka wewe ni mkali wa kupiga matongozo, mara hii umesha niwahi kwa mbele....
   
 16. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #16
  Jan 25, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,473
  Likes Received: 4,130
  Trophy Points: 280
  Mmmh!! Kuwa makini na kauli zako watakuundia kamati!!
   
 17. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #17
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ukubwa ni kulala uchi na mwenzio! Kama wewe ni me, unalala uchi na ke, na kinyume chako ni sahihi!!!!!!!!!!!!
   
 18. Mwenzetu

  Mwenzetu JF-Expert Member

  #18
  Jan 25, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 500
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 45
  ukubwa si udogo
   
 19. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #19
  Jan 25, 2011
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  hapo kwenye red nimepakubali zaidi.
   
 20. Rose1980

  Rose1980 JF-Expert Member

  #20
  Jan 25, 2011
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 5,701
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  MMH kaz ipo apa.
  UNA SIFA ZA KUWA BWANA?
   
Loading...