Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 74,991
- 156,280
Ujinga ujinga tuUkiangalia kwa jicho la kibinadamu utaona pastor anachapa bakora waumini
Ila kwa jicho la kiroho ni pastor anachapa bakora mapepo yaliyowaingia waumini
Shalom
Wenzetu mna macho ya aina mbili.Ukiangalia kwa jicho la kibinadamu utaona pastor anachapa bakora waumini
Ila kwa jicho la kiroho ni pastor anachapa bakora mapepo yaliyowaingia waumini
Shalom
Dah, kwanini asiwachape mapepo weyewe? Ulimwengu wa kiroho ni dhahiri.Ukiangalia kwa jicho la kibinadamu utaona pastor anachapa bakora waumini
Ila kwa jicho la kiroho ni pastor anachapa bakora mapepo yaliyowaingia waumini
Shalom
Ni dini gani?Aliyekwambia hao ni wakristo kakutapeli. Kadai pesa yako
Huyu unayemuongelea ni kiumbe gani? Je anaitwa nani?yanayofanya kazi chini ya kiumbe mmoja anayemiliki dini zote, na huyu kiumbe ndye anayewapa wafuasi wa hizi imani, yale mafeelings(hisia) za kuhisi uwepo/uoga wa dini na kujazwa ujinga
Huyo genta ndio pepo popomaGENTAMYCINE
Njoo uone huku, itakusaidia kuongeza nyama kwenye uzi wako ule.. 😀😀.
DHAMBI ISIYOSAMEHEKA.Anawaondoa "wenge" kwa jina la roho mtakatifu.
Mkurya ata gecha mtuHuyo genta ndio pepo popoma
Dini imevamiwaView attachment 2093183Mafundisho ya dini ya Kikristo yamejikita zaidi kwenye upendo, kwani ndio amri iliyo kuu kama tulivyo agizwa na Bwana wetu Yesu Kristo.
Miongoni mwa mistari inayo onyesha kiwango cha hali ya juu cha upendo ni ule unaosema tusamehe saba mara sabini. Pia upo ule mstari unaosema ukipigwa shavu la kushoto, geuza na la pili.
Sasa hebu tazama hiyo video, kisha tujadili, ni nini kimetokea? Je huyu anayepiga wenzake na ni kiongozi wa kanisa anasimamia andiko kutoka mstari gani?
Je huu ni upendo wa namna gani?
HakikaDini imevamiwa
Everything too much is harmfulKilevi kama vilevi vingine.
Wacha waje niwachezeshe shamukwarehaha, wazayuni wa Chanika wakiamka tafuta pa kujificha bwashee