Ukosefu wa Ajira Unaweza Kusababisha Ukajinyonga

Ukosefu wa Ajira Unaweza Kusababisha Ukajinyonga

Watu tuna roho ngumu ..hivi hamna watu wenye makampuni humu au wenye share au senior position katika makampuni mmuajiri ndugu yetu huyu!... Sasa hivi miaka 30 ikifika 35 mzozo baadhi ya waajiri hawataka mfanyakazi above that, hebu tafuteni means ya kumsaidia!!
 
Hafu kuna vi watu humu vinajiona vimefanikiwa saaaana...dharau nyingi.ka unaona we umetoka na umerizika bora funga domo sio kucomment upuuzi tu.tatzo wengne hamna sifa ata elimu ndo maana mkiskia kuna watu wana videgree uchwara mtaani unajifariji bora hukusoma.IGNORANT KABISAAA eti tafuta mtaji? Kirahis tu afu hata ka iyo ndo soln kwann usi suggest ata njia moja tu ya kuupata huo mtaji? Childish and boring...
 
oyo usijinynge bana huwez jua Mungu anamalengo gani nawewe penda kumushirikisha Yehova mzaz maana ye ndo jibu layote km hutamushirikisha yeye kwel utajinyonga ucfanye ivo
 
aqwii.....miaka yote hiyo minne umekaa bure tuuuu acha utani ww kwa style hiyo lazima maisha yawe magumu.....kwan ni lazima uajiriwe....tafuta mbinu mmbadal mkuu maisha ni ujanjaujanja tuu..
 
pole sana mkuu, lakini kuna kila sababu za mtazamo wako kubadilika shule ni kwa ajiri ya kupata elimu/ufahamu. Hivyo basi ni wajibu wako kutumia elimu yako kwa kutenegeneza ajira yako mwenyewe, hapa najua utataka kusema huna mtaji, afu watu wengi wamekariri mtaji ni pesa tu, ndo mana miaka nenda rudi wanajikuta hawasongi mbele, mara nyingi fursa hupatikana mahala ulipo tambua jamii yako wanahitaji huduma gani then toa huduma hiyo, ulimwengu huu unaendeshwa na mifumo kadha wa kadha lakini mfumo mama waitwa "cause and effect"..huwezi kaa nyumbani kisha ukadai ajira ngumu/hazipatikani akati huyo ajira hana kawaida ya kupitia watu majumbani mwao, angalizo usiifananishe degree/diploma kama kitu chenye thamani fulani hivi, kwa mtindo huu huwezi fika mbali kwani kiukweli maisha ni ubunifu na hayana kanuni, kwani waweza kuwa prof au dr alafu ukawa na maisha duni hata darasa la saba akakupiga kikumbo. Chukua hatua mkuu umri unakimbia huo..

afya ni mtaji
 
jaribu kubadili huo mtazamo ndugu.

pia jaribu kutizama fursa zingine kama unaweza soma kozi fupi fupi..mfano za computer, GIS, hata ufundi stadi kama una kiasi cha pesa ili uweze kurudisha morali ya maisha.
pole sana..
 
afya ni mtaji


kabisa mkuu AFYA NI MTAJI TOSHA, naunga mkono HOJA, lakini inanikumbusha wale ndungu wa njia za kanda ya kati huko wanaodai "MTAJI WA MASKINI NI NGUVU ZAKE MWENYEWE" wao ni mwendo wa kusimamisha magari na kuharibu safari za watu si wajua tena afya njema huleta nguvu nyingi..
 
Back
Top Bottom