Nikwel kuna shule zina walimu wawil, ila kama serikali itaajiri kwa 100% basi tuwe tayar kutofanya maendeleo ya aina yoyte ile kwan UCHUMI wetu hauruhusu kuajir watumishi kwa kiwango hichoAgenda ni kwamba inakuwaje walimu wakose ajira ili Hali Kuna shule Zina walimu wawili,,,,nenda Kigoma,Mtwara,Ruvuma,na kila mkoa Tanzania uliza idadi ya wanafunzi na idadi ya walimu je Kuna uhusiano?
Swala lako la kukosa ajira kada zingine ni ukweli sasa jiuze je Kuna nafasi kwenye sekta zao? Mfano uhitaji wa mahakimu na wanasheria serikalini ni kidogo Sana.
Kuna baadhi ya wanasiasa uchwara watakukasirikia sana hoja yako hii.Kada inayodhauliwa na wasomi uchwara wa kda zingine tofauti na ualimu leo hao hao ndo wanasuburi waokolewe na mwalimu Kwa kuwasemea kero zao hasa ukosefu wa ajira.
Tatizo ji kuwepo kwa Ombwe la Utawala katika nchi hii.Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa.
Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea.
Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu walimu wakiwa wanalalamika, najiuliza ile timu iko wapi? Ila kiukweli nawashuhudia wale ambao tulikuwa na ukaribu wanachoma na kuuza mkaa, wapo waliokwenda kuwa Mitume wanamiliki makanisa.
Lkn wengine wako wapi. Hakika sijui.
Uhaba wa ajira sio walimu pekee wanasheria wengi sana wanazalishwa, na kada mbalimbali. Katika hili vuguvugu kuna wale ambao wameshasha ji attach.kwao hasaoni maana. Kwa mfano aliopata kaz benk, wamepata mikopo..huyu hutamsikia kabisa. Kwenye ualimu ni tofauti
Unaunga mkono Serikali kutobuni na kutengeneza ajira kwa kada zote sababu tu walimu ndiyo tu wamelalamika na sio wote ? Africa haikosi maajabu. Urusi, Iran na north Korea wamewekewa vikwazo na uchumi wao bado unapaa. Zimbabwe wamewekewa vikwazo watu wanashindwa kununua hata mkate. Ngozi nyeusi ni laana. Serikali kushindwa kutengeneza ajira na kulundika wasomi huku manakopa matrilioni ni aibu, fedheha na uporaji wa rasilimali za nchi.Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa.
Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda kusomea.
Idadi ya wahutimu vijana ni kubwa mno, na sio walimu ni kada nyingine kabisa. Wakati huu walimu wakiwa wanalalamika, najiuliza ile timu iko wapi? Ila kiukweli nawashuhudia wale ambao tulikuwa na ukaribu wanachoma na kuuza mkaa, wapo waliokwenda kuwa Mitume wanamiliki makanisa.
Lkn wengine wako wapi. Hakika sijui.
Uhaba wa ajira sio walimu pekee wanasheria wengi sana wanazalishwa, na kada mbalimbali. Katika hili vuguvugu kuna wale ambao wameshasha ji attach.kwao hasaoni maana. Kwa mfano aliopata kaz benk, wamepata mikopo..huyu hutamsikia kabisa. Kwenye ualimu ni tofauti
Mbona wengine (kikwete) waliweza kiajiri na kufanya maendeleo mengine.Nikwel kuna shule zina walimu wawil, ila kama serikali itaajiri kwa 100% basi tuwe tayar kutofanya maendeleo ya aina yoyte ile kwan UCHUMI wetu hauruhusu kuajir watumishi kwa kiwango hicho