Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Thanks brother [emoji106]
 
"Kama wewe hutoki kwenye familia ya kitajiri, basi Familia ya kitajiri inabidi itoke kwako"

"Si kosa lako kuzaliwa maskini, ila ni kosa lako mwenyewe kufa masikini"

Hii misemo huwa inanitia Moyo sana!
 
Sasa tunatokaje hapa
 
Hao ni wajinga mkuu
Nyumba tatu zote za nini?Mtu anaweza kuwa na nyumba moja au asiwe nayo kabisa amepanga tuu na ana uhakika wa maisha mpaka kufa kwake, siyo wote wanafikiria kama wewe, kuna watu wanapanga apartment dola 2000 kwa mwezi na hawana nyumba
 
"Kama wewe hutoki kwenye familia ya kitajiri, basi Familia ya kitajiri inabidi itoke kwako"

"Si kosa lako kuzaliwa maskini, ila ni kosa lako mwenyewe kufa masikini"

Hii misemo huwa inanitia Moyo sana!
ยย่ำืำนนยบำืำรหนนำิำิหนใทฟอไอเหนำบำืาไสไบบไไำ่ำาำยำ่ำิวบ

In swahili
Komaaa.
 
Noma sana!
 
Hatar sana!
 
Nauona ukoo wetu[emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52][emoji52]

Ukimiliki IST ukoo wote utajua,kama una gari!!!Wataambiazana zna kuanza kukupigia simu za mikopo!!

Yani unakuta 98% ya ukoo,imekaa mkao wa kupigwa makonzi tuuu.

Inauma sanaaaaaaaaa
 
Kuna koo zenye baraka na koo za nuksi ....unapozaliwa unarithi laana au baraka za mababu... sasa inategemea hawa mababu zako waliishije wakati wa uhai wao...Je walimtumikia nani Shetani ama Mungu.

Laana hutambaa hadi kizazi cha nne yaani takribani miaka 400 hivi.

Kuvunja laana za uko ni kazi ngumu sana; kwa kukusaidia tu jaribu kutafuta chimbuko la ukoo wenu ili ufanye misa ya mizimu ya kwenu yaani Tambiko.

Njia nyingine unahitaji roho mtakatifu kwa kutumia damu ya Yesu!! Hapa napo si kazi rahisi maana mizimu nayo inapenda kuabudiwa kwa hiyo itakuwekea vikwazo... sasa kuishia kwenda kanisani bila IMANI thabiti ndani yako ni kupoteza muda..

Kifupi mna kazi kubwa mno mbele yenu ya kujitakasa nyie wana ukoo.
 
nilijua ni mimi tu kumbe kuna mwenzangu ila tujitahidi tutayaweza tu kikubwa uhai mkuu hakuna kurudi nyuma
 
Anzisha banda lakisasa la kuku, weka ukumbi wa kuonesha mipira ya ligi zote, piga pesa jenga
Wote watadumaa na kufa...!!! Nuksi kitu hataree...

Graduate unasaka kazi hadi viatu vinaisha - usilete mchezo na roho ya kukataliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…