Ukoo wetu, sijui tunakwama wapi?

Daah! Aiseee kwa sasa wacha nicheke kisha baadae ntarudi kuchangia
 
Noted with thanks
I consider this sincerely advice as a gift from you
Thanks
 
Thanks brother
Sincerely, I'm in this cycle. Trying to help everyone as possible but my life determination seems to fail. For couple of years I don't see any progress and those promised blessings. As days goes.... things become more complicated
 
.
 
Hii ni changamoto kwa watanzania wengi, watu humu wanachangia kirahisi rahisi utafikiri mambo ni rahisi hivyo..

Binafsi ninachoona ni kumuomba Mungu sana, binafsi uwe mpambanaji na kujaribu kutoa elimu kwa member wa familia ambao bado ni vijana na wananguvu bado ikiwezekana uwashauri nao kufanya ibada na kufanya kazi kwa bidii ikiwa pamoja na kusomesha watoto na hili mnaweza kusaidiana kama vijana, iwe ni mpango wa muda mrefu kidogo ili kizazi chenu kijacho kisiishi kwenye historia na maisha mliyoyakuta nyie..
 
Ulichokiandika, ndio maisha ya watanzania wengi, Karibia asilimia 95.
 
Give yourself courage! Take all Biblical characters for example , their life wasn't so easy to make a success! Look at Moses, Joshua &etail.Look at prophets like Elijah, Ebu msome MTU mmoja Gedion agano la kale, familia yao ilikuwa kama inavyodaiwa, hadi alivunja maangano ya kumwabudu shetani, familia ikapata enlightenment. Hivyo, ndugu, hakuna kinachoshishindikana kwa Mungu wa kweli. Familia ziwe za watu wa sala, masula ya kimwili tu bila ya kiroho bado ushindi haufiki. Never confess defeats! Pambana tu. Iwapo Mungu kakujalia, vyovyote vile tumia nyezo hizo kujiweka na kuwaweka wengine juu. Nakwambia, ukiamua 'kujirudisha' nyuma kwa kutokukubali 'wito' huo, wa Kiungu, then huenda hadi kizazi cha NNE toka wewe. Take Courage,you are almost winning the battle.
 
Nyumba tatu zote za nini?Mtu anaweza kuwa na nyumba moja au asiwe nayo kabisa amepanga tuu na ana uhakika wa maisha mpaka kufa kwake, siyo wote wanafikiria kama wewe, kuna watu wanapanga apartment dola 2000 kwa mwezi na hawana nyumba
Jifunze ku-digest maandiko.
 
pongezi za dhati ziende kwa serikali ya awamu ya tano. jiwe hoyeeeeee.
 
Wana faida gani sasa duniani? Hawa lazima wametopea kwenye uchawi ndio Maana hata ishu ya msosi wanakuangalia kwa jicho baya
Waende kwa mzee wa upako watapata gari bure! Ups yupo?
 
We we una uchungu sana bila shaka atamiliki hivyo vyote.Ukishindwa utakuwa huna maana kuliko wao.
 
huo ukoo wenu utakuwa na mikosi nawakaribisha sumbawanga mje msafishiwe nyota
 
Note brother
 
We we una uchungu sana bila shaka atamiliki hivyo vyote.Ukishindwa utakuwa huna maana kuliko wao.
No sio kwamba hawana maana
Ukiyachunguza maisha yao ,they trying their best to make it
 
Again thanks for clarifying
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…