Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 34,434
- 59,295
Mkuu tujuze kidogo.
Penye nia pana njia, fanya bidii katika shughuli zako huku ukimwomba Mola wako akubariki. Kukata tamaa hakutakusaidia chochote, idharau aibu ufanye kazi yoyote iliyohalali inayoweza kukuingizia kipato huku ukiwa na nidhamu ya matumizi yako.Feeling I will be like them
Mitikas haisomi kabisa
Hahaha wewe unataka kuwa potosha, Yesu hakuwa hata na baiskeli, mwenyewe alitumia punda. Sasa wakienda kwa Yesu, hata nyumba moja wanweza kuuza. Unafahamu siku hizi kule kuna michango mingi kujenga makanisa kuliko kumsaidia mgonjwa hospitali?Nendeni kwa Yesu
Kama huwezi kupata kwa halali, unaweza kuiba au hata ukazulumu cha msingi ufikie malengo yako.Hakuna anaemiliki hata nyumba 3
Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura
Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili
Hakuna hata anayemiliki kampuni
Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini
Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida
Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani
@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?
Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Waende kenya etiNendeni kwa Yesu
Thanks for encouragement
But feeling trapped in the cycle
Ukoo mamaUnaongelea ukoo au familia?
AsanteKabla hujafikiria wengine jiulize wewe kwanza. Ukijianalyse kwa nini humiliki hivyo vyote then utapata jibu. Ila pia kumbuka hakuna anaezaliwa na hivyo vitu. Hivyo na wewe utavipata tu ukivitafuta.
You are welcome brotherDoppla. Ulisoma physics A level ? Kama ni kweli niruhusu nikupe mbinu
Asante mkuuPenye nia pana njia, fanya bidii katika shughuli zako huku ukimwomba Mola wako akubariki. Kukata tamaa hakutakusaidia chochote, idharau aibu ufanye kazi yoyote iliyohalali inayoweza kukuingizia kipato huku ukiwa na nidhamu ya matumizi yako.
AsanteMatajiri wa hum!u wacha wa kubeze mkuu pole sana
Mimi huwa nawaza hapa duniani hakuna kitu kingine cha kufanya zaidi ya kusoma kutafuta pesa na kumiliki mali na mwisho kufa unazikwa kama ulivyozaliwa,kaburini buendi na chochote.
Usikubali kuonewa lakini usitazame mali za watu kwa jicho la husda.
Amini kila mtu anakusudi lake kuwepo hapa duniani
Mkuu unajua kutisha watuHahaha wewe unataka kuwa potosha, Yesu hakuwa hata na baiskeli, mwenyewe alitumia punda. Sasa wakienda kwa Yesu, hata nyumba moja wanweza kuuza. Unafahamu siku hizi kule kuna michango mingi kujenga makanisa kuliko kumsaidia mgonjwa hospitali?