Nendeni kwa YesuHakuna anaemiliki hata nyumba 3
Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura
Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili
Hakuna hata anayemiliki kampuni
Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini
Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida
Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani
@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?
Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Haha waende kwa yesu sioNendeni kwa Yesu
Anza wewe kiongozi wengine wafuate
Anza kumiliki wewe, wenzio wataiga!
Sasa wewe ndo unatakiwa uanze kumiliki nyumba tatu.... unatakiwa uwe mfano kwanza
Yeye ndo kwanza bado yupo kwa shemejiFungua njia wanaukoo wako watapata pakuanzia
Mkuu tujuze kidogo.Formula ya maisha ni rahisi sana ukiilewa
Wana faida gani sasa duniani? Hawa lazima wametopea kwenye uchawi ndio Maana hata ishu ya msosi wanakuangalia kwa jicho bayaHaha waende kwa yesu sio
umeongea kwa uchungu daaah pole sanaHakuna anaemiliki hata nyumba 3
Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura
Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili
Hakuna hata anayemiliki kampuni
Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini
Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida
Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani
@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?
Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Kwa ukorofi tu..uko vizuriYeye ndo kwanza bado yupo kwa shemeji
Feeling trapped in the circleSasa wewe ndo unatakiwa uanze kumiliki nyumba tatu.... unatakiwa uwe mfano kwanza

Anza wewe kuwa na yote hayo. Kinakushinda nini?Hakuna anaemiliki hata nyumba 3
Hakuna ambae ukifika kwake ukitaka chakula chochote unaandaliwa hata bila kuona shemeji amekunja sura
Hakuna mwenye hata magari binafsi mawili
Hakuna hata anayemiliki kampuni
Hakuna hata anayemiliki lodge za kisasa mjini
Hakuna hata ambae safari za ulaya, America na Asia ni vitu vya kawaida
Hakuna ambae ukienda kwake unahisi uko likizo flani
@Hivi wakuu hawa watu wanaoexperince haya maisha walimpa Nini Mungu na wengine tunakwama wapi?
Life is too disgusting
When you feel you are just surviving while others are living
Feeling I will be like themAnza kumiliki wewe, wenzio wataiga!