Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,914
- 18,925
Nimeweza kufwatilia kumbukumbu za ukoo wangu na zinaonyesha kwamba tuko kwenye Ardhi hii ambayo leo ni TZ tangu mwaka 1780 kudadeki, wengi wenu najua mtajaribu kurudi nyuma na mtagota kwenye mwaka 1920! Kwanza kuna wengine wanaanzia hata 1960!
Najivunia Utanzania wangu...
Najivunia Utanzania wangu...
Kweli sasa nina haki ya kujiita Mzawa, Mtanzania halisi!