Ukonga Mombasa kimenuka tena

Wanaume wa dar mrenda sana...huku kibiti mbona tuliwatoa jasho
 
Vijivulana vya ukonga vinakula chips mayonaiz,Unategemea nini?
Yaani Nakwambia siku wachaga na wakurya wenzangu wakija dar vijivulana sjui vitakimbilia wapi
 
You have nailed it. Hii ndio huwa inanisababisha naona kama Vijana wa huu mji ni wavuvi mno!!!Kijana anapambana na wamama watu wazima na wazee ili akakae kwenye mwendo kasi wakati haizidi dakika 35!! Hapa ndio pananipaga wasiwasi kila siku!!! Labda ni hivi visupu vya pweza, vichipsy mayai na haya mahindi choma wanayokula na pilipili ndi yameharibu akili na nguvu.
 
Mpaka umeme wametukatia huku.nasikia wanataka kuingia nyumba hadi nyumba .kweli tuna kazi wiki hii sisi wakazi wa mombasa/gongolamboto itabidi tupambane tu na hali yetu maana Sirro ametukataa
Kama umeshindwa kupigana nakushauri lala darini.
 
Asilima 90 ya wanao-comment "wanaume wa Dat hovyo".....wao wenyewe wanaishi Dar
 
Hivi huu upuuzi huu utaisha lini maana, nchi utadhani haina kiongozi...! Tumechoka kutawaliwa jamani..
 
Hiyo inaitwa Ambush,yaani polisi wamekuja kupiga wakati wanaume wa Dar wako wanaendelea na shughuli zao hawana hili wala lile. Kama vipi police watoe taarifa mapema ili tujue nguvu ya wanaume wa dar
 
Mm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
Wacha mpigwe tu kudadadeki
Wanaume wa Dar badilikeni
Watembezeeni kichapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…