Ukonga Mombasa kimenuka tena

Utasikia turikuwa tunapambana naro ririkuwa na siraha ya motho rikatushinda tukaamua tujibu mapigo turearest kwa kurijeruhi na risasi ritakuwa ni rijambazi
 
Siwalaum maana wanaume wa dalusalam wote wanamiliki smartphone lakini sio siraha kwaiyo mwenye siraha kubawa labda ufagio wa ndan.sasa kwanini wasikimbie.
 
Maeneo ya ukonga kina Mura ni wengi sana. Inakuwaje wanashindwa kupambana?
 
Wanaume wa Dar wanajua kula chipsi tu kupambana hawawezi
Sasa utamlinda vipi mkeo kama mwanaume unakuwa legelege
Jifunzeni sanaa za mapambano karate ngumi judo
Wanaume wa Dar bana kama mademu tu
Kama nakuona unavyoongea hayo maneno na rafudhi yako yakichaga.
 
Hawa wanaume wa dar inabidi wawe wanavaa g string ndani ya suruali zao pia wawe wanavaa sidiria badala ya car wash mtu kama Gudume ni mfano wa wanaume mdebwedo wa dar
 
kamata mmoja ng'oa mbupu, hawana lolote hao acheni kuogopa hizo nguo za kaki wengine mananga tu
 
Swali dogo kwa Kamanda Sirro;
Hivi baba, tuseme hujasikia yaliyotendwa na hawa vijana wako huko Ukonga-Mombasa? Jana wamewapiga hadi wanawake na watoto, kosa ni askari wako kauliwa na kutupwa hapo. Leo wamerudia kitendo hicho. Tutakuwa na kosa kusema kuwa umewatuma?? Huyo kamanda wa mkoa wa darisalama, kaenda likizo? Kuwajibika kumeenda wapi?
Nadhani kuna tatizo some where sio bure. Nadhani, ajitokeze kiongozi mmoja wa juu wa polisi aamue kujiuzulu kuonesha masikitiko yake kwa aibu hii inayoletelezwa na hao polisi.
Nikisema, wanaume, wanawake, jitokezeni muoneshe mfano kwa kumsulubu mmoja leo mtasema nachochea. Wala hamtaonekana kwa kuwa ni usiku na usiku haushoni nguo. Poleni
 
Wanaume wa dar hovyo sana,yani askari 10 wanafunga mtaa wenye watu 1000 kweli!,tena usiku?

Kwa kauli hii lazima hujawahi kuvuka hata Chalinze, ungeuliza kwa shemeji yako kwanza taarifa za jiji hili kabla hujajibu.
 
Wasalamu Wakuu,

Field Force Unity Ukonga wanaendeleza zoezi lililoanza jana la Kuwapiga na kuwavunja Raia wa maeneo ya Ukonga mpaka Chanika ..

Inasemekana siku ya Ijumaa kuamkia jumamosi Askari mmoja wa kikosi ya FFU aliwawa na watu wasiojulikana maeneo ya Mazizini Mombasa kisha kumtupia katika lango la kambi ya FFU Ukonga.

Hapo jana Askari waliovalia sare za jeshi la FFU wakiwa na marungu pamoja na fimbo walikua wakipiga raia yeyote anaezagaa kuanzia saa 12 jioni, Watu wasio na hatia Watoto, wazee na akina mama wamepiga na wengine kuvunjwa.

Taarifa zunasema Zoezi hili ni endelevu kwa muda wa wiki nzima,

Nawasilisha
 
Duh. Ishakuwa SIRAHA sio SILAHA. Na umri ulionao bado kiswahili kinakupa shida ...ukapimwe mkojo wewe sio bure.
 
Mm ni Mkazi wa Ukonga, Kinachoendelea ni zaidi ya uonevu maana toka jana wanatupiga tu raia. Na nimesikia wamepanga kutupiga wiki nzima pia
 
Watazoea vibaya hao, fanyeni maandamano ya amani kupinga uonevu huo, wafanye uchunguzi wa kiweledi kuwagundua wauwaji, sio kutumia nguvu nyingi bila akili
 
Wanaume wa Dar wanajua kula chipsi tu kupambana hawawezi
Sasa utamlinda vipi mkeo kama mwanaume unakuwa legelege
Jifunzeni sanaa za mapambano karate ngumi judo
Wanaume wa Dar bana kama mademu tu
WANAUME WA DAR WANAJUA KUGOMBANIA PAMOJA NA WAJAWAZITO, WAZEE NA WANAWAKE KTK MABASI YA MWENDO KASI, NI AIBU SANA UKIWAONA WANAVYOWASUKUMA WAMAMA, WANAWAKE, WAZEE NA WATOTO KISA KUWAHI TU SITI ETI HAWAWEZI SIMAMA KWA DK 35 TU, HUWA NAKAA PEMBENI NA KUWAANGALIA.
MIMI WA DAR ILA NIKO BADO NA UJASIRI WANGU WA KWA BABU.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…