Ukondefu unaninyima amani nifanyeje ili nipate walau vinyama kidogo

52 kwa mwanaume ni ndogo sana.. angalau 60. piga gym mara 4 kwa wiki.
 
Tafuta supu ya utumbo wa ule maziwa ule weka na pili pili na ndimu au limao na chapati zako mbili kila siku asubuhi

Mchana kula ugali samaki fresh tu na matunda

Usiku piga kitu cha wali mnyamba ,maharage au shushia mchemsho wa samaki ,kuku au ngombe na ndizi juu

Halafu piga tizi la kutanua kifua hicho huwezi nenepa wakati una kifua kama cha mbu
 
Nyama ni chakula chenye kuongeza uzito haraka, kila mlo wako kula nyama na ikiwezekana nunua nyama ya kidari.

Kula chakula na kilevi iwe wine au beer.

Baada ya siku 28 utupe mrejesho.
Uchumi hauruhusu
 
Umesema wewe una mwili mwembamba ila me naweza kuwa nimekuzidi kwa kuwa na mwili zaidi yako wewe, nakumbuka darasani nilipokuwa sekondari nilikuwa naogopwa hadi na walimu muda mwingine kunichapa tena ukizingatia mimibni mpole sana.

Ninachoshukuru sikuwahi kukufuru hata siku moja kwa kujuta hivi nilivyo, tena huwa ninapofanya mazoezi ya kukimbia asubuhi mfano naongozana na mwenye mwili mkubwa anatamani angekuwa na mwili kama wangu tena wengine wananiambia wangekuwa na mwili kama wangu wangelala tu nyumbani.

Nimeona hapo ulianza ujenzi wa ulivyo ita kibanda chako nashauri endeleza ujenzi huwenda mafanikio yakaja kuketa kwako mwili sawa na unavyotaka
 
Mawazo ya kifalafala
Acha gubu,penda kuish bila karaha,acha mawazo ya kifala fala,pata muda wa kupumzika,rizika unachopata, kula diet stahk,fanya mazoez ya kuongeza weight,HAKIKA mwili huo miez 2 mingi utambi huo unakuja
 
Acha gubu,penda kuish bila karaha,acha mawazo ya kifala fala,pata muda wa kupumzika,rizika unachopata, kula diet stahk,fanya mazoez ya kuongeza weight,HAKIKA mwili huo miez 2 mingi utambi huo unakuja
Mazoez gan ya kuongeza weight?
 
Kulewa naogopa addiction tena
Kula grand malt 1asubuhi 1mchana 1jioni na msosi usile wa mawazo. Kama unakula magengeni acha na ujipikie mwenyewe mlo wa heavy weight


Hahaah watu wanautaka wembamba, wewe unataka unene. Hahahah ila tafuta hela unene unakuja wenyewe
 
Aaah aaah wembamba jau..
Sugar mamy wanakuona mtotobukiwasilimia tu.. Hautaskia mbona hauniamkiii.....

Aaah aaah aaah tafuta chakula cha tembo ule
 
Daaah. Umenikumbusha kuna kipindi wife alikwenda kwao mara moja, nilikuwa najipikia ugari kubwa nakula hadi nakaribia kutapika ndo naacha, ndani ya wiki tu nikaanza kunenepa hadi sura bahati mbaya sikuendelea sana nikaacha
 
Niwapi huko unakoishi..?? Huko mahali ambapo mtu mwenye kilo 48 analeta fujo
 
Wengi tuwakondefu either kwa mawzo au kwa kuzaikiwaa asili ila mim naamini hakuna MTU mwembamba kwa SAS pata pesa au uotee ajira ofisi nzuri utaona kuwa hakuna MTU mwembamba duniani
 
Sawa wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…