Ukombozi Tanzania Group

Ukombozi Tanzania Group

Ukombozitz

Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
15
Reaction score
3
Open Group mpya imefunguliwa facebook kwa jina la Ukombozi Tanzania. Unaruhusiwa kujoin pamoja na kuinvite watu mbalimbali kwenye group. Aim ni kuwa na kila mtanzania anayetumia mtandao wa internet awe kwenye hili group tayari kupashana habari pamoja na Kuikomboa nchi yetu. Ndio kwanza tumeanza kuchukua hatua sio kila siku maneno.. Jiunge na hiyo group sasa na unganisha na wenzako.


Ukombozi Tanzania Admin
 
HIZI NDIO HATUA TUNAZOTAKA!
FED UP BEING SCREWED LEFT RIGHT!
nGOJA NIJIUNGE sasa hv!
 
We link wewe kurahisisha mambo,
Usigumishe mambo!!
 
NImeshajiunga ili kuichana chana hii serikali ya MAGAMBA
 
Back
Top Bottom