ukomavu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Dr leader

    JamiiForums Tanzania UKOMAVU NI NINI?

    UKOMAVU NI MTAZAMO WA AKILI, SI UMRI. HIZI HAPA DALILI ZA MTU ALIYEKOMAA! • Haogopi kuwa peke yake. • Anatambua kuwa pesa siyo mbaya, ubaya ni kukosa pesa. • Anajua kuwa Nafsi inaweza kuwa adui yako mkubwa au msaidizi wako mkubwa. • Anagundua maisha huwa mazuri zaidi pale watu wasipojua...
  2. Shammy-

    JamiiForums Tanzania GE2025 Rais Samia anaonesha ukomavu wa kisiasa kwa mivutano ya kisiasa inayoendelea

    Katika kipindi ambacho nchi inakumbwa na mijadala potoshi isiyo na ushahidi kuhusu madai ya kutoweka kwa Humphrey Polepole, na wengine wanaojiteka na kujificha wenyewe kwa lengo la kuchafua utawala, Rais wetu mpendwa kipenzi cha watanzania Mama Samia Suluhu Hassan ameendelea kuonyesha mfano...
  3. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania Uchaguzi wa Samia ni kipimo cha ukomavu wa muungano wetu

    Moja ya hotuba maarufu sana ya baba wa Taifa ilikuwa ni ile ya mwaka 1995 ambapo pamoja na mambo mengine alizungumzia nyufa za muungano. Katika kipindi cha Urais wa Samia tumesikia mambo mengi, hususani kutoka kwa viongozi wa chama cha demokrasia na maendeleo ambao katika maeneo tofauti...
  4. Dr Adam Francis

    JamiiForums Tanzania CHADEMA, ukomavu wa kisiasa ni pamoja na kuyakubali mazuri ya CCM

    Moja ya hoja ambayo hivi karibuni CHADEMA wamekuwa wakiitumia kama kete muhimu kujitofautisha na CCM ni uwazi waliokuwanao nao katika uchaguzi mkuu wao. Uwazi wa kiwango kile hata mm ningelipenda kuuona kwenye chaguzi zote za nchi yetu. Ni imani yangu, kwamba kama chaguzi zetu zingekuwa na uwazi...
  5. Nehemia Kilave

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Walichokifanya leo Wana Simba wameonesha ukomavu , uelewa na busara kubwa , wanahitaji pongezi .

    Je umefikiria kama na Wana simba leo wangemiminika kwa wingi uwanja wa Taifa kufuatilia suluhu ya kilicho tokea March 8 ,2025 ,nini kingetokea ? Ukipata jibu utagundua Washabiki wa Simba wako next level
  6. L

    JamiiForums Tanzania Chadema hakina ukomavu kimejivua nguo Aibu.

    kwa yanayoendelea sasa ndani ya chadema kuna ombwe la uongozi na kutokuwepo kwa nidhamu, ustahimilivu na kuheshimiana. uchaguzi wa kidemokrasia huwa una sura ya ustaarabu. vyama vidogo visivyokuwa na succession plan ndiyo tatizo lake. Chama kilichotegemewa na wananchi kinaporomoka kama uyoga
  7. Morning_star

    JamiiForums Tanzania Kizazi hiki tunakibebesha majukumu mazito kabla ya ukomavu wa akili!

    Nilikuwa nafuatilia kwa ufupi baadhi ya viongozi na umri wao wa kuanza kubeba majukumu ya kitaifa nikagundua walikuwa na umri mkubwa. Kwa mfano: Juliasi. K. Nyerere alianza darasa la kwanza akiwa na umri wa miaka 12. Na woote viongozi wa kizazi chake walianza shule kwa umri huo. Rashid Kawawa...
  8. B

    JamiiForums Tanzania Je leo Mamlaka zitaonyesha ukomavu wa Kifikira na kisiasa kama Jeshi la Ruto? Huu ni Mtihani Mwingine kwa Tanzania

    Nchi ikifika level kama ya kenya jinsi Jeshi la Nchi ikiwemo Polisi, usalama na Jeshi lao la ulinzi lilionesha utimamu na ustahamilivu wa hali ya juu sana. Yaani Majeshi yote ya Kenya yalionekana kuwa Imara na kwamba they are Unprovocable for Little things kama Maandamano. Na Jeshi lilishinda...
  9. O

    JamiiForums Tanzania Ukomavu wa Chadema

    Nimeamua kuandika kuhusu kuwepo na watu wawili viongozi wakuu wa chama kuonyesha nia kutaka kuwa wagombea urais kupitia chadema. Mimi hili jambo naliona kwa jicho la pili yaani chama kukua, pia kuwa na watu wenye ushawishi ndani na nje ya nchi. Ili jambo linapaswa kupongezwa na sio kutiwa...
  10. K

    JamiiForums Tanzania SoC04 Tanzania tuitakayo: Bunge Mbadala kwa ukomavu wa kidemokrasia nchini

    Utangulizi Tanzania kama zilivyo nchi za Jumuiya ya Madola zina mfumo wa uwakilishi wa wananchi unaofanana kwa asilimia kubwa. Hata kanuni, miongozo na sheria zinazotumika kwenye mabunge ya nchi hizi zinafanana. Ni mfumo wa miaka mingi ambao chanzo chake ni tawala za kifalme za nchi ya...
  11. Titho Dyakiye Philemon

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ndoa siyo umri, ndoa ni ukomavu wa akili unatokana na malezi

    Imekuwa kawaida sana kwa nchi nyingi barani Afrika na hata duniani kujaribu kupinga ndoa za mapema na Tanzania ikiwemo. Kigezo kikubwa kimekuwa kitajwa kuwa umri kati ya muoaji na muolewaji. Baada ya tathmini fupi nimekuja kugundua kuwa suala la malezi lina nafasi kubwa katika ndoa kuliko umri...
  12. Brain Kingdom

    JamiiForums Tanzania Chuki zinazochagizwa na ukosefu wa maarifa, umadhubuti wa akili na ukomavu wa fikra ni kichekesho

    Habarini nyote. Kwa uchache kabisa niseme ya kwamba awaye yeyote mwenye chuki kisa tu uduni wake kwenye maarifa, kukosa akili pevu na madhubuti, pamoja kukosa ukomavu wa fikra kwa taswira pana huwa ni kichekesho. Ukipewa dhamana fanya utofauti katika namna chanya na iliyobora na kwa kujikita...
  13. mjizu123

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala Tanzania

    Rais wa nchi, Mh. Samia Suluhu Hassan, ameonesha Ukomavu na Utayari mkubwa katika kuleta mabadiliko ya mfumo wa utawala wa Taifa letu pamoja na changamoto kibao zinazolikumba Taifa hili kwa sasa na kipekee sana wahafidhina ndani ya Serikali na chama Tawala ambao wanajaribu kukwamisha au...
Back
Top Bottom