Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

Lakini hiyo naona kama ni invoice sio receipt i.e. maelezo ya kukuhitaji kulipa, sio risiti ya malipo....! May be am wrong!
 
pHO7r-8ba4.jpg
 
Lakini hiyo naona kama ni invoice sio receipt i.e. maelezo ya kukuhitaji kulipa, sio risiti ya malipo....! May be am wrong!

Mkuu Kwetunikwetu:

Taxi invoice - ni doc inayopatikana baada ya mpewa huduma/product kukubali kuwa huduma huduma/product ilitolewa na muda xyz. Kwahiyo taxi invoice zinatakiwa kuwa kwenye mtiririko sahihi wa tarehe/huduma/product!

Unless kuna afisa ugavi na mhasibu "mafisadi" there is no way taxi invoice kuwa back-dated!
 
Duu Yarabi weeee....

Yaani juzijuzi tu nilisoma watu wakimsifu Kinana kuwa ni Kichwa saaana. Ila sasa naanza kupata wasiwasi maana kadakwa na tundu bovu kabisa la hizo Risiti. Wamekuwa wakidanganywa woote kuanzia Rais na sasa hadi Kinana.

Inaonekana waliposikia watashitakiwa, basi ndipo wakakurupuka kwenda kulipia hizo ndege na kuja na risiti kuonyesha uma. Ila wakasahau kuwa walitakiwa wazitofautishe kidogo na waangalie ipi inaanza na ipi imalize.

Hili la Meli wala msiwe na wasiwasi. Kama kweli anasaidia jamaa zake basi Museven atakuja sasa hivi kumchukua akasaidie uchunguzi huko Uganda. Akikoswakoswa na hilo basi ajiandae maana mwakani atapandishwa kizimbani kujibu mashtaka ya kuuza meno ya tembo. Hatutanunua hizi blaa blaa za kusema "yeye hajui nini kimo ndani".
Kuna picha aliweka Invisible ambazo zinaoneysha Waarabu wakiwa na Kinana wamekuja kuwinda. Mwenye nazo naomba tafadhali aziweke.

Hizo picha hata mimi nazisubiri
 
Hila la risiti nina mawazo ya aina 4 tofauti
1. Nadhani hata hao wanaotumiwa kuwadanganya Watanzania waibiwe nao wamechoka wakaamua kumwingiza mkenge
2. Au Kinana alipeleka maagizo ya kijeshi kwa Wakala wa Ndege ya 'reta risiti hapa' jamaa wakaona isiwe shida, haya hizo hapo
3. Au kama kawaida CCM wanajua Watanzania ni mafala hayawezi kujua
4. Kufoji ni utaratibu rasmi wa CCM hivyo wao ndio wanashangaa nyie mnaohoji uhalali wa hizo risiti
 
hiyo inashangaza kabisa,
ila kabla ya kwenda mahakamani wa waulize hao jamaa waliozitoa wapate maelezo kwanza then waone kama hayaridhishi waende mahakamani. hii itawasaidia hata katika kujenga hoja
 
Alikuja hapa Mbunge wa Singida, yule Mutoto wa Mujini Mo. Akaja na kuweka makala moja ndefu saana juu ya mambo ya umeme na takataka nyingine. Sikumbuki alikuwa Fundimchundo au NN waliomuumbuwa kwa kuweka makala nzima kwa Kiingereza na wapi aliitoa. Kibaya zaidi hakuandika hata katoa wapi na kwamba yeye alitafasiri tu.

Baada ya kudakwa huko, aliingia mitini hadi leo. Sijaona tena makala zake.

Kinana na yeye kaja na Virisiti vyake na kashadakwa. Siku nyingine wawe makini hawa watu na wafanye kazi wakijua kuwa JF ipo. Inabidi kuwe na kipindi kwenye TV na mwisho wa kipindi anatokea INVISIBLE MAN akisema kama yule Mpepelezi wa New York Vin Paco "... I'm JF and i'm watching you".
 
Ninadokezwa hapa kuwa kesi tofauti pia ya kuhusu meli ya Kinana (na pembe za ndovu) iko kwenye maandalizi ya kupelekwa mahakamani.

Mabibi na mabwana, jiandaeni na soda zenu za mirinda (wtf mnakunywa) na bia zenu za ndovu (kwa wale wenzangu wanywaji) kwani hii ngoma ndo mwanzo imeanza.
hii ndo people power, kaka
 
Mkuu Kwetunikwetu:

Taxi invoice - ni doc inayopatikana baada ya mpewa huduma/product kukubali kuwa huduma huduma/product ilitolewa na muda xyz. Kwahiyo taxi invoice zinatakiwa kuwa kwenye mtiririko sahihi wa tarehe/huduma/product!

Unless kuna afisa ugavi na mhasibu "mafisadi" there is no way taxi invoice kuwa back-dated!

Ebanaee JF kuna vichwa hadi inatisha
 
Zimbabwe kulipotokea shida ya Petrol/diesel, ilianza kuwa kasheshe kubwa sana na Changudoa wakaweka hili tangazo:

manicapost_1.jpg

Nina hakika kuwa kama Kikwete akishinda term ya pili (GOD forbid) basi Tanzania itaishia kuwa zaidi ya Zimbabwe
 
Kwanza tujikumbushe kidogo yaliyotokea masaa 24 yaliyopita kwa mujibu wa mwanachama mwenzetu wa JF Nyambala:



Habari zilizonifikia sasa hivi ni kuwa, kundi la wanasheria na wapenda haki Tanzania linajiandaa kumshitaki kampeni meneja wa Kikwete (Kinana) na kampeni ya ccm kwa ujumla. Ukweli unazidi kudhihirika kuwa hizi risiti (invoice?) zimefojiwa na/au haziendani na ukweli wa kawaida wa uendeshaji na utunzaji wa mali za serikali.

More to come

Muwe mnawashauri hao watu wanajita wanasheria. Unaweza ukapewa risiti siku kadhaa baada ya kutumia huduma. Ipo kila sehemu duniani hiyo kitu. Kwa mfano, unaweza pewa E-ticket ya ndege ambayo mara nyingi haikubaliwi ofisi nyingi na siku ukienda kudai risiti yenyewe unaweza pewa iliyo na number kadhaa mbele ya wale waliokuja baada yako. Zaidi ya hao, huduma inaweza tumika na malipo yakafanywa baadaye sana inategemeana na uteja wa mhusika.

Muhimu sana kwenye issues ambazo watu wenye akili wanacheza nazo, inabidi na wew euwe na akili sana. Kitakachofika hapo ni kuchakachua mkataba (haikatazwi) ambao utaonyesha CCM walivyo book ndege mapema na malipo yakafanyika baadaye. That is normal all over. Sijui JF kwanini watu wasifirie kwa mtindo huu wanadandia tu na kuanza kutema tema?!

On top of this, cases za kudandia muda huu hazina tija. Muhimu kwa vyama ni kampeni. Sana sana Kinana atawapiga bao la nguvu sana na kujiongezea wapiga kura. take note
 
See,

I told you guys.

Nashangaa sana, topic yangu na hii ya ndege ya serikali zina theme tofauti.
Anyway......ngoja niende nje nikalie.
 
See,

I told you guys.

Nashangaa sana, topic yangu na hii ya ndege ya serikali zina theme tofauti.
Anyway......ngoja niende nje nikalie.

HAhahahah nilijua hili mkuu wanachakachua MOD, huenda ikapotezwa kwa sababu yao yeyote ile, kufurahisha sijui nani!
 
Pesa za mishahara hakuna ila ya kukodi ndege kwa salima kwa usd 15,000.00 zipo hata wahisani watatuelewa kweli? Hivi angepanda precision kwenda mwanza angebadilika nini? Huo sio ubadhirifu kweli wa mali ya umma, ccm hata wakisema hizo pesa sio za serikali, na pia si zao ni za wanachama ambao ni wananchi wanaoshindia mlo mmoja?ukweli utapatikana.

Naninachokiona hapa ni hati ya madai na sio risiti kwa kuwa risiti za serikali ni za rangi ya njano zinaitwa exchequre watuonyeshe hizo sio hizo za madai kwani deni pia waweza usilipe
hii kitu ilikuwa kwa tshs 15,000.00, sasa walipo shtuka kwamba hiyo ni hela taxi ubungo kariakoo, ndio wakazidi chakachua na kuandika kwa dollari ili tuone ni sawa
 
Kaka hizo ni pesa za CCM na sio za Serikali, nyie CHADEMA kazi yenu kukosoa tu, majimbo mangapi mnayashikila na hakuna maendeleo yoyote?? Yani mnaboa kinoma, na mtachonga sana mwaka huu. Mambo ya hospitali wewe yanakuhusu nini?? Kama mna huruma sana kachukueni mapato ya Bilicanas pale kwa yule DJ wenu mnaemwita mwenyekiti mkasaidie hospitali...Sh#$%%^&n

SASA....Wewe hii POST inakuhusu nini ...Kwa taarifa yako sina KADI ya chama CHOCHOTE...Ila natambua wajinga wanaotumia HOVYO KODI yangu .....
 
Back
Top Bottom