Ukodishaji wa ndege za serikali, Risiti za Salma Kikwete

1. Namba ya stakabadhi iliyotolewa tarehe 31/08/2010 ni 00868727 na ile risiti iliyotolewa tarehe 14/09/2010 ni 00867609 ?????????ngoja watuone wajinga kwa sasa..! watakuja lipa vibaya saana,,..!!

hivi kweli nchi imekosa jasiri waku*********** hawa jamaa. halafu wengi sio wazawa hawa.....akina kinana..? ati mfanyabiashara wa meli na meno ya tembo.
 
Katika kile kinachoweza kuonekana kwamba CCM imekosa dira, inatapatatapa na iko tayari kwa lolote kumnusuru mgombea wao anayepungua umaarufu kwa kasi. Kinana amewakilisha invoice kutoka wakala wa ndege za serikali kuthibitisha kwamba mama Salma Kikwete hatumii ndege hizo kwa gharama za serikali. Good on him.

Lakini katika kuonyesha kwamba Dr Slaa anawazidi CCM kufikiri zaidi ya mara mia kuhoji kwake kumefungua "a can of worms" Ni aibu na ni wazi Kinana na CCM wamegushi stakabadhi hizo:

1. Namba ya stakabadhi iliyotolewa tarehe 31/08/2010 ni 00868727 na ile risiti iliyotolewa tarehe 14/09/2010 ni 00867609

2. Stakabadhi hizo zinazodaiwa kutoka kwa CEO wa wakala wa ndege za serikali mojawapo inaonyesha USD 15,000/= What the hell is /= on the $$$$$$$$$??? Hiyo si shillingi. Hivyo basi si rahisi ofisi ya CEO ikafanya kosa la kizembe namna hiyo. Ila kwa sababu ni forgery that is why?

3. Huo muhuri wa CEO mbona umekaa kibilikanasi bilikanasi? Siamini kama CEO wa entity kubwa namna hiyo ana muhuri mbovu kiasi hicho.

3. Je wakala wa serikali naye hutoza feza za kigeni kwenye huduma zake?????????????? what a shame and hypocrisy?????


All in all Salma Kikwete ni nani ndani ya CCM mpaka chama chake kiingie gharama kubwa namna hiyo kumsafirisha here and there kipindi hiki cha kampeni??????

Where are we going???????????

Hivi si kila siku JK anarandaranda around the globe kuomba omba, sasa hizi hela za kufanyia mambo haya ya kipumbavu wanatoa wapi?????????????
...l ddnt imagine that oldman may be foolish tht much!!! kwanza alirukia kujibu maswali ambayo si yake kiuhalisia, wale wenye ndege pengine ndio walipaswa kutoa maelezo, ikulu au hao wakala wa ndege za serikali! nashangaa hata watu wa media waliokuwepo walishindwa muuliza je fedha hizo zililipwaje? kibenki au cash? hapo wangemkamata tu, kwa vile ni fedha nyingi kiasi hicho kanuni zinaelekeza lazima zilipwe kibenki, na hapo ndio upumbbavu wake ungemuumbua mbele ya media! kwa vle hawajalipa hizo fedha!

Lakini jambo jingine baya kabisa ni pale anapokitwisha chama kionekane hakina utaratibu wala kanuni, kwamba mtu yeyote tu anaweza kukodishiwa ndege ili akafanye kampeni kwa mgombea, wkt wapo walioaminiwa na chama kufanya kazi hiyo!

Mara nyingi ccm wamekimbilia kujificha nyuma ya mgongo wa chama kama vile huko ndiko ujinga na aina zote, upumbavvu na uzembe vinaruhusiwa!! nilitarajia media wangemuuliza huyu mzee lini katiba ya ccm imeanza kumtambua mke wa m/kiti wao wa taifa kama kinara wa kampeni za mumewe??? mbona haijatokea meneja wa kampeni akakodiwa ndege ya serikali kusimamia kampeni zao?

kama ni hivyo si bora sasa yeye ampishe huyo mama umeneja wa kampeni?

Kama serikali inaendeshwa kwa misingi ya kanuni na taratibu zinazoeleweka pengine chama kinapaswa kuwa zaidi ya serikali kwa vile chama ndicho kinaendesha serikali!! kulingana na mfumo wetu!



 
Habari za uhakika nilizopata ni kwamba 'risiti' hizo, au tuseme invoice hizo ni fake through and through na Makamba & Kinana itabidi waeleze umma au waachie ngazi!! . Sakata hili halijaisha kabisaaaaa!!! Wewe subiri tu, kuna watu makini wanalifanyia kazi. Itakuwa ni aibu kubwa kwa CCM kuliko hata EPA.

Navyosikia Wakala wa ndege za serikali waligoma kutoa risiti backdated (na sijui ajira ya maafisa hawa itakuwa vipi) na hivyo CCM wakatafuta vitabu vya stakabadhi sehemu nyingine na kughushi, baada ya kuchongesha muhuri wa haraka haraka. Ni mambo ya kihuni na ya kimafia kabisa wanafanya jamaa hawa. Kinana sasa hivi anahaha!!!!!

SAKATA HILI HALIJAISHA -- HABARI NDO HIYO!!!!!

Mi naona hatuna muda wa kusubiri. kama evidence zipo si wanasheria wafanye kazi yao? tunasubiri mpaka lini? 31/10 haipo mbali. ni bora kieleweke ili hiyo siku ikifika wananchi waamue kama wanataka kuendelea kudanganywa au la. maana tukisubiri mpaka uchaguzi upite watu watasema hawakulijua hilo wakati wanaenda kupiga kura.
 
Mmesahau! CCM waliingiza magari bila kulipia kodi, Dr Slaa alivyonasa nyeti Amos Makara na Yusufu Makamba waKaenda TRA wakapewa backdated receipt. Kwa hiyo huo mchezo hawajauanza leo, wamezoea.
 
ccm iko katika koma, siku zake za kuishi zinahesabika, chama kimemshinda jk, mke na watoto wake wanaendesha nchi, oooh Taifa hili bana, Mke wa kikwete anamzidi makamu wa rais katika mizunguko ya chama, mi namshangaa huyu mama.
 
:confused2::confused2: Huu ni usenge jazz band, sielewi hawa sisiemu wanatuona sisi sote mafala kama wao au, hiviiiiiiiiiiiii jamani si nchi hii iuzwe tu natugawane kila mu ale vyake au kheri wakoloni warudi au jeshi lichukue nchi? mmmh hata hilo jeshi lenyewe full sisiemu.
 
Sasa risiti iliyotolewa majuzi ina namba ya mbele zaidi ya iliyotolewa leo? sio forgery hiyo?

Definition ya forgery hii hapa:

Forgery is the process of making, adapting, or imitating objects, statistics, or documents ( ikiwemo risiti), with the intent to deceive. The similar crime of fraud is the crime of deceiving another, including through the use of objects obtained through forgery. When the object forged is a record or document it is often called a false document.:confused2:

Kwa hiyo uwongo ni hizo tarehe na namba za risiti? Kwani kuna sheria inayolazimisha kuandika risiti in seriatum? Je, risiti ikiandikwa kabla ya kuandikwa ya nyuma yake? Naongea in a legal sense, sio simple logic!
 
hakuna forgery yoyote kila kitu ni sahihi, shida ya watanzania ni roho mbaya maana majibu mlioyataka mmepata zaidi ya hapo mnatakanini????, Rais wa Tanzania ni Jakaya Mrisho Kikwete(JK) na first Lady wetu ni Salma Kikwete nakumbusha ifikapo Oktoba 31 2010 chukua shahada yako angalia jina Jakaya weka ndiyo huu ndiyo ushindi ambao unaleta heshima kwa mtanzania acheni porojo!!
 
Kwa hiyo uwongo ni hizo tarehe na namba za risiti? Kwani kuna sheria inayolazimisha kuandika risiti in seriatum? Je, risiti ikiandikwa kabla ya kuandikwa ya nyuma yake? Naongea in a legal sense, sio simple logic!

Mkuu B,
Logically it does not make sense issuing a receipt in later number leaving the next!! Wahasibu waje watueleze hapa, hii ni forgery moja kwa moja. Kwa kweli kama Kinana ameonyesha risiti ya namna hii, kuna shida huko ambayo hatuijui sisi tulio nje!!!
 
hakuna forgery yoyote kila kitu ni sahihi, shida ya watanzania ni roho mbaya maana majibu mlioyataka mmepata zaidi ya hapo mnatakanini????, Rais wa Tanzania ni Jakaya Mrisho Kikwete(JK) na first Lady wetu ni Salma Kikwete nakumbusha ifikapo Oktoba 31 2010 chukua shahada yako angalia jina Jakaya weka ndiyo huu ndiyo ushindi ambao unaleta heshima kwa mtanzania acheni porojo!!

Vuvuzela wewe!! Umejiunga kutupigia kelelel kama za SA world cup.
Tumeamka siku hizi, mmezoea hewala mzee!!! Sasa kazi kwenu... nyam#@&%F>
 
Wadau nijuavyo mimi huwezi ku-backdate IT records. Kiutaratibu, Kama Kinana na wazandiki wenzie wanauhadaa umma wa wa-tz kutumia invoice za uongo wataumbuka tu kwani kwa mujibu wa taratibu za BOT malipo yoyote yanayozidi Tshs 10,000,000/- lazima yapitie TISS.... Sasa labda BOT nao wata-backdate hizo IT transactions (kama kweli malipo yalifanyika)... Tusubiri tuone...
 
Wakuu nakubaliana na yote yaliyoandikwa hapa lakini hoja ya kwa nini ndege ya serikali inakodishwa nadhani si nzito sana. Ndege hizo hukodiwa na mtu au kampuni yeyote ile hela yako tu. Nakumbuka nilipokuwa bongo kampuni yetu (Mining exploration Co.) ilikuwa ikikodi ndege kutoka Govt flight Agency mara nyingi tu kwenda na kurudi Mwanza.

Hivyo basi naomba tustiki kwenye hoja nyingine jamaa wasijecapitalize kwenye hii simple anomaly

Asante Mhe Nyambala. Naona ungesaidia sana hoja hii kama ungeweka hapa JF invoice na risiti walizopewa kampuni yenu ya Mining Exploration Co kutoka kwa Govt Flight Agency kwa kukodi ndege zao mara nyingi kwenda Mwanza na kurudi bongo, ili tuzifananishe na hizo za Mhe. Kinana.
 
4rarnb.jpg
...hivi hizi dolali zilishalipwa?!!
 
Wakuu tuache ushabiki lakini kwenye hili Kinana inabidi awajibike kwa kuwadanganya watanzania na possibly kufanya forgery. CCM need to immediately come clean on this..............

Inawezekana vp risiti (invoice) iliyotolewa tarehe 31/08/2010 ikawa na serial no. 00868727

na ile iliyotolewa tarehe 14/09/2010 ikawa na serial no. 00867609

Kama kawaida yao kuchukulia mambo rahisi rahisi na kwa utetezi rahisi watasema kuna vitabu vya risiti (invoice) zaidi ya kimoja but why?????? Govt flight agency yenye ndege mbili tu iwe na vitabu viwili? Is that place that busy that much? Hapana hapa Kinana umechakachua tu, na kwa utaratibu wa kibongobongo usikute kuna jamaa alipewa hiyo kazi ya kuafuta risiti (invoice), he got them na no body akagundua upuuzi huu kwa sababu ya desperation. Vile vile by the look of first 4 numbers very likely ni kutoka kitabu kimoja au vinavyoongozana. Sasa iweje the ya mbele iwe ya mwanzo??????

Yaani hata mwalimu wangu in the 80's was smatter than this kugundua forgery za tiketi zan mabasi.

Nimewahi kuona hapo Tz watu wana birth certificate zilizotolewa Dec 25. au May 01, kama ile akaunti ya Tangold ilivyofunguliwa.




Risiti (invoice) iliyotolewa tarehe 14/09/2010




Risiti (invoice) iliyotolewa tarehe 31/08/2010

Note: Mods baadae changanya hii thread na nyingine zinazofanana

Leo nimekumbuka kuwa Kinana alihusika kwenye sakata la kutumia ndege ya serikali kwenye kampeni za chama. Risiti hizo alizozionyesha zilikuwa na utata.
 
Back
Top Bottom