Cantalisia
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 5,221
- 2,930
nawataja kimya kimya mkuu
nilinde lakini,
cantalisia + rejao.
kongongo + theboss
nangojea hiyo vita kwanza nitaendelea
Hahahaha......... ulivyo mchoyo hata PM zenyewe unagoma kujibu. Nimekoma kujipendekeza. Ntakubakia hapahapa hadharani.
Kongosho miye simo kabisaa.............. anasubiria mavibration yako huyu. Na huko mtaa wa 12 ndiko wapi???? mmmh! isijekuwa cku hizi mmehamia Tanga lolol! tena pale ni karibu kabisa na sokoni so kongosh hutopata shida ya viungo vya kumuekea kwenye maji ya kuoga.

ngoja nitangaze nia na mimi jaman nina one loose electron which needs to be shared, but the pair must have opposite spin so anyone who is interested unakaribishwa.
nawataja kimya kimya mkuu
nilinde lakini,
cantalisia + rejao.
kongongo + theboss
nangojea hiyo vita kwanza nitaendelea
gfsonwin, siku hizi lazima nijipe dakika kumi za mazoezi ya vibration
Hivi hata yakiwa madogo yanavibrate?
nawataja kimya kimya mkuu
nilinde lakini,
cantalisia + rejao.
kongongo + theboss
nangojea hiyo vita kwanza nitaendelea