Tindo
JF-Expert Member
- Sep 28, 2011
- 58,990
- 103,373
Fred Mpendazoe sishangai hiki ulichokiandika kwani wewe ni mmoja wa kizazi cha unafiki. Wewe ulikuwa mpaka na nafasi ya waziri kwenye serekali ya awamu zilizopita. Katika awamu hizo ndio tulishuhudiwa mikataba mingi mibovu ikipitishwa na wewe na huyu unayemtetea mkiwa mko kimya kabisa.
Sasa tunashindwa kujua unazungumza uzalendo ukiwa unamaanisha nini. Au uzalendo kwako unaanza wakati gani? Kama huyu unayetaka tumuamini ni mzalendo alikuwa waziri wakati wa awamu zote mbili zilizopita, ambapo ni dhahiri mikataba yote anayotia ya wizi ilipita mbele ya macho yake huku akiwa kimya kabisa.
Tumeshaibiwa vya kutosha, na baada ya yeye kuwa rais ndio kaanza kuonyesha uzalendo. Je unataka tuamini huwezi kuonyesha uzalendo mpaka uwe rais? Je uzalendo kwako ni kumuunga mkono rais hata kama kuna mambo mengi anafanya kisiasa, chuki na jazba?
Hivi tukikuita mnafiki na unapambania tumbo tutakuwa tumekutusi au tumekuambia ukweli?