Uko wapi.....Nikufate

Kuepusha vijicho upande naanza na chama. Uko wapi mwanasiasa wangu?

Yuko dodoma huko kwenye bunge la visa na mikasa.. Halafu ndo makamu mwenyekiti wa kamati namba 5.. Chezea chama wewe..
 
Last edited by a moderator:
Namtafuta my husband....tangu aondoke hadi leo hajarejea
bustani inahitaji umwagiliaji maana ukame wakausha mazao

dedication when I need you by Celine Dion

Afadhali usimtaje jina dada yangu maana mijicho ishaanza kuwatoka wakware hapa lol.. nakupenda dada yangu na ninakutakia w/end njema..
 
Namtafuta catherin umepotelea wap best! Nilipta kwenu haus ger wako akanipa namba yako napga weee but where...,kuja bana..

Nipo wangu mitandao inasumbua.Nitakutafuta
 
Afadhali usimtaje jina dada yangu maana mijicho ishaanza kuwatoka wakware hapa lol.. nakupenda dada yangu na ninakutakia w/end njema..

Nakupenda pia kaka angu......... bahati kuwa na kaka kama wewe
Husbend jina kapuni humu wakware wengi lol
 
Last edited by a moderator:
mwallu yule mtu wetu kapotea sasa, namtafuta!?
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…