Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,840
- 25,367
Amezeeka Sana huyu na mjua anaishi maeneo yetu hukuH
Hapana,huu Ni mfanano wa Unique Flower aje chap mkale maisha
Wanasema unasifa zote; ebu tuone 😀 😀 😀Amezeeka Sana huyu na mjua anaishi maeneo yetu huku
🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndio ninapokupendeaga,huishiwi jamboAmezeeka Sana huyu na mjua anaishi maeneo yetu huku
Atakuwa amepata kilaji🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndio ninapokupendeaga,huishiwi jambo
Unadhani nilimwita bure,nilijua atakuja na JamboAtakuwa amepata kilaji
Eh kama zipi??Wanasema unasifa zote; ebu tuone 😀 😀 😀
Kama za huyo ninaye muhitajiEh kama zipi??
Kanapenda hela hata kakiwashwa ukikakuna na kucha miwasho haiiishi ila ngoja ukanune na wekundu wa msimbazi miwasho inakata😃.......Sasa mkuu ukianza kutmani wawiliwawili italeta shida.....hebu twende na huyu Amehlo tuone kama tutafika sehemu.....angalizo: we umezungumzia iphone ila nimeona yeye kama katamka kitu kizito kidogo IST, au ni International Schools of Tanganyika.....
ha ha haUnadhani nilimwita bure,nilijua atakuja na Jambo
Ni ukweli yupo Dar Kwa Sasa sawa ila anakujaga kumsalimia mkewe na hapo nilipo panga juu kidogo ndio kwakwe nimemjua kupitia Facebook aliposema alipo tu basii nikamwogopa ila huyu jamaa ni gentlemen na anaheshima sana .🤣🤣🤣🤣🤣Hapo ndio ninapokupendeaga,huishiwi jambo
Kumbe ana watoto wa chuo?si mbabu Sasa huyu?Ni ukweli yupo Dar Kwa Sasa sawa ila anakujaga kumsalimia mkewe na hapo nilipo panga juu kidogo ndio kwakwe nimemjua kupitia Facebook aliposema alipo tu basii nikamwogopa ila huyu jamaa ni gentlemen na anaheshima sana .
Zaidi ya huko Facebook sijawahi muona karibu ni siku Moja tu alipokuwa anatoka na gari yake home na mkewe na watoto wakuwa warefu kama yeye watoto wake wawili wameoa na mmoja kaolewa huyu mdogo anamalizia chuo sio mdogo huyu ila ukimtaka mtajuana ila anaringa sana kabisa
Yaani laki 5 kisa utamu wa siku 1?Hata kwa sasa bado hujachelewa; unaweza ukafurahia haya maisha, muhimu uwe tayari kuteketekeza angalau laki 5 kwa siku.
ha ha ha nimecheka sana; pata kvant kwa gharama ya mfuko wakoNi ukweli yupo Dar Kwa Sasa sawa ila anakujaga kumsalimia mkewe na hapo nilipo panga juu kidogo ndio kwakwe nimemjua kupitia Facebook aliposema alipo tu basii nikamwogopa ila huyu jamaa ni gentlemen na anaheshima sana .
Zaidi ya huko Facebook sijawahi muona karibu ni siku Moja tu alipokuwa anatoka na gari yake home na mkewe na watoto wakuwa warefu kama yeye watoto wake wawili wameoa na mmoja kaolewa huyu mdogo anamalizia chuo sio mdogo huyu ila ukimtaka mtajuana ila anaringa sana kabisa
ha ha ha haYaani laki 5 kisa utamu wa siku 1?
Na hivi umri ulivyoenda si nitaambiwa nilipie milioni kabisa ili nikubaliwe 🤪
Natamani ingekuwa hivyoKumbe ana watoto wa chuo?si mbabu Sasa huyu?
🤣🤣🤣🤣Hapa mjini bwana unatembea watu Wana taarifa zakoNatamani ingekuwa hivyo
Anachangamsha jukwaa tu🤣🤣🤣🤣Hapa mjini bwana unatembea watu Wana taarifa zako
tafuta hela afu ujeWikiendi ndio inaanza hivyo, sijui nitoke na nani!
Nipo hapa mtaani sijielewi elewi, natamani kutoka ila nashindwa kwa sababu sina wa kuwa naye bize huko niendako.
Nikiangalia mfukoni, zimebaki tu chenji za kununua debe mbili za mahindi; lakini kujipa raha ni muhimu pia, kwa sababu tunaishi mara moja tu, kunywa na kucheza na marafiki ni muhimu pia.
Natamani nitoke na mrembo wa mfanano huu:-
View attachment 2544936
Uko wapi mrembo?
Kama kiasi ganitafuta hela afu uje
Ndio na ameoa huyu ni Babu, ila ukiwa naye utaenjoy sana anajua matunzoo kubali anahelaKumbe ana watoto wa chuo?si mbabu Sasa huyu?