Hapana,huu Ni mfanano wa Unique Flower aje chap mkale maishaKama unamfanano, njoo ukae siti ya mbele kabisa
Tatizo shepu my wangu🤣🤣🤣🤣🤣 Shoga yangu we Hutaki mtoko?
Ko nyie mmeumbiwa tamaa what about us?kwa mitego yenu nusu uchi tutasalimika kweli dadangu?ata kama niko kwenye ndoa.kiasili wanaume tumeumbiwa tamaa asilimia kubwa nyie ndio mnatutia majaribuni
🤣🤣🤣🤣🤣Twende zetu Uturuki tusipitwe na ofa za ghafla Kama hiziTatizo shepu my wangu
Asipokuwepo, inabidi uokoe jahaziH
Hapana,huu Ni mfanano wa Unique Flower aje chap mkale maisha
😀😀😀😀😀kumbuka ana hela za debe la mahindi🤣🤣🤣🤣🤣Twende zetu Uturuki tusipitwe na ofa za ghafla Kama hizi
Yaani Kila mtu ana vitu vyake jamani😂Labda ndio ugonjwa wake huo 😅😅
😊😊 huyu Joanah anataka kukuibia tunda lako😀😀😀😅niache mie
Haha kama unazo hata usiwaze. Wakati tuko bed tunapiga story mbili tatu za wema na diamond nakuwa nakutumbua chunusi😊Heee we ndio mpenzi wa kwanza kutamani chunusi!dunia Ina Mambo hii🤣🤣🤣
Debe moja Ni elfu sitini,debe mbili Ni laki na ishirini 🙉🙉hapa ukitoka unywe kwa staha😀😀😀😀😀kumbuka ana hela za debe la mahindi
gear zenu ni zilezile na ss break zetu ni hzohzo tamaaKo nyie mmeumbiwa tamaa what about us?
Haya sasa hatimae wenye chunusi wamefikiwa. Kama unazo, changamkia fursa hiyo 😅😅Yaani Kila mtu ana vitu vyake jamani😂
Ana sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze.....zungumza nae vizuri mkuu, you never know pengine na yeye anakufeel mkajikuta mna-make it!!......
chai ipo ila inaunguza mafizi ya moto kweli kwelLeteni chai
Na usiwe na njaaDebe moja Ni elfu sitini,debe mbili Ni laki na ishirini 🙉🙉hapa ukitoka unywe kwa staha
🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂Umetisha sana
Iphone miaka 3 nikitaka kiji IST jeAna sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze
Ila hata Joanah ananielew sana tu akichezea bahati nahamisha mapenzi huko. Huyu nae ana vichunusi amazing pia. Sema vinaotaga tu wakati wa period 🤣🤣🤣
Nikinunua IST warombo wataniita mchawi kwa sababu hata babu yangu hajawah kuwa na gari. Mzee alikuw anaendesha guta mabibo 😃 kwa kipato changu inaonekana mjukuu wetu atakuw wa kwanza kununua gari kweny ukoo wetu.Iphone miaka 3 nikitaka kiji IST je
Kaa kwa kutulia sasaNikinunua IST warombo wataniita mchawi kwa sababu hata babu yangu hajawah kuwa na gari. Mzee alikuw anaendesha guta mabibo 😃 kwa kipato changu inaonekana mjukuu wetu atakuw wa kwanza kununua gari kweny ukoo wetu.
.......Sasa mkuu ukianza kutmani wawiliwawili italeta shida.....hebu twende na huyu Amehlo tuone kama tutafika sehemu.....angalizo: we umezungumzia iphone ila nimeona yeye kama katamka kitu kizito kidogo IST, au ni International Schools of Tanganyika.....Ana sauti nzuri kweli halafu ni kibonge mwepesi. Napenda vibonge ukimtekenya anacheka mpaka kamasi. Usoni ana vichunusi kwa kwel nampenda Amehlo wangu shida ana tamaa na vitu vidogo vidogo eti anataka iphon 12. Nimemwambia nina charge ya iPhone ghetto aje achukue ila miaka mitatu ikipita atapata iPhone 12. Hajui tu nina kiwanja chanika nasubiri kipande bei nikiuze
Ila hata Joanah ananielew sana tu akichezea bahati nahamisha mapenzi huko. Huyu nae ana vichunusi amazing pia. Sema vinaotaga tu wakati wa period 🤣🤣🤣