Uko wapi mrembo?

Sasa wewe maisha aliyoishi mama angu ndo niishi na mimi πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€tulia kijana
tatzo mnaishi maisha ya kuigiza ya kwenye kideo kuwa maisha halisi.siku hzi kila mapenzi mnatanguliza pesa utu hauna thaman tena ngono imehalalishwa zinaa imehalalishwa mnaita mapenzi ya dhati
 
Kwa sasa bila hela, utakuwa unakula mapoligoni tu; wanataka sana hela hawa watu
 
tatzo mnaishi maisha ya kuigiza ya kwenye kideo kuwa maisha halisi.siku hzi kila mapenzi mnatanguliza pesa utu hauna thaman tena ngono imehalalishwa zinaa imehalalishwa mnaita mapenzi ya dhati
Ulie nae ndo ulie anza nae? Au unabadilisha kama nguo
 
Heee we ndio mpenzi wa kwanza kutamani chunusi!dunia Ina Mambo hii🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…