Uko wapi dear?

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
[MKE];(akiongea kwa hasira),mume wangu uko wapi mpaka mida hii saa 4 za usiku? [MUME];Mke wangu unalikumbuka lile duka la urembo ambalo tuliukuta ule mkufu wa dhahabu ambao ulisema unaupenda sana halafu nikakwambia sina hela ila nikasema ipo siku nikipata hela nitakununulia? [MKE];Yes,yes napakumbuka dear,enhee niambie! [MUME];Okay sasa kwa nyuma yake kuna bar,nipo nakunywa hapa!
 
hahahahahahahahahahahaha! huyo mwanaume hana haya.
 
Hapo nadhani roho yake ilikuwa swafi akidhani ndo anamnunulia
 
Hapo lazima mwanamke alimtukana mumewe tusi kubwa kabisa.
Na akamalizia na kusunya msonyo wa dk 1 na sek 47.
 
sipati picha jinsi mwanamke alivyo vimba kwa hasira.
 
kumbe alikuwa anabaa kwa nyuma aisee
 
Hapo lazima mwanamke alimtukana mumewe tusi kubwa kabisa.
Na akamalizia na kusunya msonyo wa dk 1 na sek 47.

Ni rahisi sana, mchina katuletea piki piki aka SEKIDO, bajaji halafu unazinguana na mumeo na maswali ya uko wapi? Unampandia huko huko kama yuko kwa sonara kwa mbele au nyuma hainisaidii mimi shida yangu ni urudi nyumbani au nije tukae wote! over and out! lol
 
We mama mukali tena mukali sana!
 
Mwanamke hapo atashindwa achoke au afurahi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…