G
guest-1790917349
Guest
Nipogooooo aiseeeee mgirik
Nipo busy na baby ndo maana sionekani sana
Nipo busy na baby ndo maana sionekani sana
ulimbuken gan??
Ndo shida yenu... Mnakuwa bize na watoto mpaka mnawasahau waliowapa mimbaNipogooooo aiseeeee mgirik
Nipo busy na baby ndo maana sionekani sana
Ndo shida yenu... Mnakuwa bize na watoto mpaka mnawasahau waliowapa mimba
Hahahaa haaaa
Baby i mean hubby to b jamani
Dah, kwa hili la hubby nadhani mgrik atakata tamaa kabisa!
Aisee...........
yesu wangu! bby tena???? Nani huyo........ Himidin nisaidie babaangu nanyang'anywa
Nipogooooo aiseeeee mgirik
Nipo busy na baby ndo maana sionekani sana
^^
mgiriki usihofu, haya yalimkuta Cosmas Chidumule kwa mwanamke aliyeitwa Neema, alimpenda sana lakini Neema kuwa na mume na mtoto hakumkatisha tamaa, mpaka 1985 akaimba wimbo ufuatao
....
Usipate tabu Neema
Uliyoyafanya sio mageni hapa duniani,
Ikiwa ni kupendana Mamaa,
Wapo waliopendana kama kumbikumbii,
Hata wakati wa kutembea utawaona bibi mbelee bwana nyumaa,
Ikiwa ni mapenzi mamaa,
Wapo waliopendana kama watoto mapachaa,
lakini sio ajabu hata pacha hutokea wakakosa kuelewanaa,
tena kwa viapoo Neema,
Sembuse mimi na wewe!
Tafadhali yako nimeipokea,
Kwa mikono miwili,
Tena bila kinyongo moyoni mwangu,
Neema,
Hata shemeji zako kitim timu na gunde niliwatuma waje wakupe salaam zangu,
INGAWA ROHO ILIUMAA NEEMA,
Uliponielezea,
Kwamba,
Yule bwana ulozaa nae yupoo,
Kwa hiyo nisije nyumbani kwako,
Hata kusalimiana nami hutaki,
Japo twafahamiana,
Ooo! Neema
Penzi Mauaaa,
Neema
Penzi Upepoo,
Sina neno mimi kwa kuwa najua huyo ni mzazi mwenzio,
Penzi Mauaa,
Penzi Upepoo,
IKO SIKUU NEEMA
Nitakuja kwa wazazi wako,
Nilete barua ya uchumba,
Nifunge ndoa na wewe!
Penzi Mauaa,
Penzi Upepoo,
IKO SIKUU
Nitakuja kwa wazazi wako,
Nilete barua ya uchumba,
Nifunge ndoa na weweee.
^^