Uko nchi maskini na bado uko mkoani?

Waliopo mikoani ni waoga wa maisha na wanajipooza na wanawake wenyematako makubwa..

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Inategemea na kazi au biashara unayo ifanya Kama ni mkulima au mlanguzi wa mazao dar sio mahara pako.
 
🀣🀣🀣 huenda huko waliko kuna masrahi kuliko DSM
 
DSM vijana wanaishi maisha magumu Sana Sana Sana!! 90% ni hohehahe ila wanafosi kuonakana hawana shida!! Mm nikikaa dar Sana Sana nikammua kuvunja Kambi nikaja mkoani 2014!! Nadili na minsda hakika nilijuta kwann nilichelewa kuishi dar!!
 
VIONGOZI WANAHAMASISHA TUKAPAMBANE NA KILIMO MIKOANI NDIO KINA TIJA, HUKU WENGINE WANATUSHANGAA TUNAOISHI MIKOANI.
YANI BAADHI YA VIJANA WANAOISHI DAR WANATUSHAWISHI TULIOPO MIKOANI TUWAONE KAMA WANAISHI NEW YORK VILE.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…