Mgodo visa
JF-Expert Member
- Nov 1, 2016
- 3,603
- 3,666
Nawaza tu kwa sauti, kama ingekuwa ukizini tu unawekewa alama usoni , nyuso zetu zingekuwa na alama ngapi?
Binafsi ningekuwa na alama chache sasa.
Kati ya wanaume na wanawake nani angekuwa na salama nyingi?
Kwa Mungu hilo linawezekana...
Tunaambiwa na viongozi (wahubiri) wa DINI kuwa siku ya UFUFUO (JUDGEMENT DAY) kuwa wale wazinifu wote WATAFUFULIWA wakiwa na K mwilini.....
Idadi ya hizo PAPUCHI zitadhihiri mwilini mwako kutokana na wingi wa WANAWAKE ulio fanya nao tendo la ndoa...
Kwa bahati mbaya sikuwahi kuhoji itakuwaje kwa JINSIA KE...?
Tupunguze kama hatuwezi kuacha ZINAA..!!
Itakuwa ni huzuni siku hiyo ya HUKUMU...siku ya HESABU...Hakutokuwa na muda wa MTU/MFU kumcheka mwingine...
Tumuombe MOLA atunusuru na AIBU hiyo...