Kama uko kwenye ndoa unamfahamisha mke wako?Mimi damu yangu haipotei,ushahidi wa kwanza kijiti cha buku, wa pili na wa mwisho ni ndonga, kikivimba mbele kwa juu hesabu maumivu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mke wako amekubali mtoto aje nyumbani kwenu?Absolutely...
Nami nina janga hilo, ila alielewa baada ya muda, mke nilimwambia, ila nililala sebuleni kama wiki 3 hivi kwa kuogopa ntakayofanyiwa, nikaambiwa nirudi tu kitandani kwa kwake, nashukuru nilisamehewa...
Hapana anakaa na mama yake, mke amekataa, kadai atakaa nasi kama mama yake asipokuwa duniani, mrs wangu yuko very strong...Mke wako amekubali mtoto are nyumbani kwenu?
Hapana anakaa na mama yake, mke amekataa, kadai atakaa nasi kama mama yake asipokuwa duniani, mrs wangu yuko very strong...
Kabisa kabisa...Ukiambiwa kuna mtoto ni mtihani mkubwa. Ni afadhali uruhusu ajuane na wenzake. Ukisema akae kwa mama yake Baba akienda kuwajulia hali watoto wanaweza kuongezewa.
Ukimkubali huyo baada ya muda unaongezewa mwingineMke wako amekubali mtoto aje nyumbani kwenu?
Wanatuletea majanga hawa binadamu. Unamwambia akija wa pili mimi ninaondoka.
Akishafungulia njia kwa wa kwanza ndo ugonjwa ulishaingia hawaachi,ila kumbukeni mnafisha ganzi mioyo ya wake zenuWanatuletea majanga hawa binadamu. Unamwambia akija wa pili mimi ninaondoka.