Ukizaa na mume wa mtu funga domo lako

Utamstuiaje wakati akitoka kazini anapitia kwa mchepuko halafu anamchapa ndipo anakuja kwako. Nawe anakuchapa usiku. (Japo wewe ndiyo utakuwa unapakazwa shombo la mchepuko)

Ama anaweza kukuaga anaenda semina kumbe semina yenyewe ni kumpakua mchepuko. Au anaweza kweli akaenda semina lkn akaongeza na siku 3 za kumseminisha mchepuko.

Ni sawa,

Lakini afadhali mke achelewe kujua lakini sio kukaa kutokujua kabisa hadi siku atakayokufa mume ndio ajue?!

Mojawapo ya maombi ya mke yanapaswa kumuomba Mungu amfunulie mambo ya hila yote yalojificha.

Awareness is empowering.

Utakapojua mumeo ni malaya na amezaa nje itakusaidia kuweka mambo yako sawa.

Utajua mumeo kumbe anamtoto au watoto wengine nje !

Na Kama ni mchepuko ukijua mapema itakusaidia ku-intervine the situation kabla uhusiano haujaweka mizizi na kuweka alama ya kudumu ya uzinzi wao kwa kitendo cha kuzaa nje ya ndoa!
 
Wake wa ndoa wangeweza kuwastukia wanaume zao mapema na michepuko yao ingesaidia kuzuia mambo mengi sana.

Imeandikwa: mwanamke atamlinda mume wake!

Sasa mnawalindaje wasitegwe na malaya/michepuko?
 
Utamstuiaje wakati akitoka kazini anapitia kwa mchepuko halafu anamchapa ndipo anakuja kwako. Nawe anakuchapa usiku. (Japo wewe ndiyo utakuwa unapakazwa shombo la mchepuko)

Ama anaweza kukuaga anaenda semina kumbe semina yenyewe ni kumpakua mchepuko. Au anaweza kweli akaenda semina lkn akaongeza na siku 3 za kumseminisha mchepuko.

Michepuko wengine nasikia wanaliwa asubuhi saa 12 hadi saa 1 asubuhi kabla Mwanaume hajaenda kazini!

Sasa huo si utumwa?!

Yani ujidamke usiku usiku umuwahi bwana sijui ndio guest house au hotel na mwanaume naye yuko under pressure ya kutaka kuwahi amalize awahi kazini sasa hayo ni mateso au starehe?

Kuna mchepuko mmoja juzi kati umekasirika kwa hali hiyo

Umesema umechoka kuhangaika na wanaume za watu Bora amwombe Mungu ampe wake wa halali.

Mchepuko unasema Kuna wanaume za watu wengine wana makusudi sana katika kuwafanyia michepuko!

Mara wakipiga simu wasipokee mara Mwanaume aseme yuko na mkewe !

Nasikia ni kero ni basi tu!
 
Yani ujidamke usiku usiku umuwahi bwana sijui ndio guest house au hotel na mwanaume naye yuko under pressure ya kutaka kuwahi amalize awahi kazini sasa hayo ni mateso au starehe?
Hata kuna wake za watu wanachokifanya wanaomba ruhusa kazini kama leo kwamba kesho hatokuja kazini kwasabb Fulani.

Akifika nyumbani anamwambia mumewe kwamba kesho atawahi asubuhi sana kwenda kazini ili kukwepa foleni ya magari maana kuna kazi nyingi kaziacha ofisini.

Kumbe haendi kazini bali anaenda kwa kivulana kianchoishi geto na anataka afike asubuhi sana kabla majirani hawajaamka. Atashinda humo geto kutwa nzima jioni anarudi kwa mumewe akiwa amechakatwa yuko hoi
 
Tena kama ana kazi za kuingia zamu ya usiku au safari ndio kabisaaaa

Asubuhi akirudi home amechokaa anakunywa chai analala kutwa nzima unajua kachoka kazini kumbe amekesha Kwa hawara usiku kucha sasa kachoka !

Daaah!

Sasa kuna maana gani ya kuendelea kuishi na mtu mwenye hila na muovu kiasi hicho ?!

Kwa Habari ya zinaa kuachana ruksa!
 
Daaaa
 
Kuachana sio suluhisho,maana uendako utakutana na yaleyale uliyoyakimbia na huenda yakazidi.
 
Aaah wapi !

Inategemea bana!

Iwapo mtu atapata ambae wako chemistry bonded wataelewana na kupendana kwa uaminifu wote!

Haya mambo ya ku-cheat ni sababu upendo wao au wa mmojawapo unakuwa wa mashaka !
 
Mwanaume kusema Eti anachepuka lakini huku anampenda mke wake wa ndoa ni uongo na unafiki!

Ukimpenda mtu huwezi tafuta kumfanyia jambo ambalo unajua mwenzi wako akijua utakuwa umeumiza moyo wake Kwa makusudi.

Kuchepuka ni jambo la makusudi na linalopangwa na kuratibiwa vilivyo.

Kwa hiyo ni makusudi mazima na wala si jambo la bahati mbaya.
 
Wengi wanachepuka na wanawapenda zaidi wake zao lijue hilo.
 
Katika pitapita huku na kule jamaa akajikuta amezaa na mchepuko, jamaa akamwambia mtu wake"nitamjengea nyumba mtoto tutapangisha ili pesa za matumizi na mambo mengine zitoke huko na pia huo utakuwa ndio urithi wake, kwasababu mimi nina familia sitoweza kumtambulisha huyo mtoto kwenye familia yangu, nitasababisha misukomisuko kwenye ndoa yangu.

Mchepuko ukashukuru sana na ukaahidi kutunza siri maisha yote,nyumba ikajengwa wakapata mpangaji l50K kwa mwezi, wakakubaliana hiyo pesa ya pango iwekwe benki kwa ajii ya kumsomeshea mtoto atakapokuwa amefikisha umri wa kuanza shule.

Kwahiyo jamaa akawa anatoa pesa za matumizi kila mwezi,yule bibie akanogewa na zile huduma akajisahau na kujihisi naye ni mke wa jamaa, akaanza"Hooo huyu ni mtoto wa fulani hoooo baba yake anamjali sana kamjengea nyumba maneno kedekede.

Hizi habari zikamfikia mke wa jamaa ,ugomvi mkubwa ndani ya nyumba, ikabidi Yf apeleke mashtka kwa wakweze kikao cha usuluhishi kikakaa Jamaa mbele ya wazazi wake na nduguze akakiri mtoto ni wake na nyumba kamjengea kweli, kikao kikaamua mtoto atambulishwe rasmi kwenye familia na nyumba aliyojengewa itakuwa ya familia nzima, mkewe naye akawa tayari kumlea mtoto wa mumewe bila ubaguzi Ila tu mumewe amhakikishie kutoendelea tena na mahusiano na mchepuko, jamaa akafanya hivyo kwa kiapo.

Baada ya mchepuko kuambiwa maamuzi ya kikao amekubaliana na suala moja tu la kumchukua mtoto,ila kuhusu nyumba anataka iendelee kuwa ya huyo mtoto wake tu kama walivyokubaliana awali,kwa madai kwamba hata yeye ana watoto wengine ambao siku za usoni watahitaji msaada wa kifedha kutoka kwenye hiyo nyumba.

Jamaa amegoma amemwambia mdomo wake umesababisha hayo yatokee,lakini ukweli ni kwamba yeye Mchepuko hakuchangia chochote kwenye ujenzi.

Kimenuka huko hakuna cha pesa ya matumizi wala pesa kwenda benki, Mchepuko anataka aolewe na jamaa awe mke mdogo amlee mwanaye yeye mwenyewe, jamaa naye anasema hana uwezo huo wa kuoa wake wawili na sio kuoa tu hata kuchepuka hataki tena,punguzeni midomo hizo tambo zinawaharibia.
Hata hvyo ndo lengo la michepuko kuharibu ndoa, sema huyo kakutana na familia na mke imara ndo basi tena
 
Hicho kiapo alichoapa jamaa kaapaje kwa mfano?

Kwaajili ya kujifunza tu hapa jamvini.

Na mtoto ni wa umri gani labda?
 
Back
Top Bottom