Ukizaa na mume wa mtu funga domo lako

Kwahiyo ukizaa nje ya ndoa na hutaki mtoto ajulikane ni wako unafanyaje?
Mwanamke ndio anazaa nje ya ndoa,uliwahi kusikia wapi Mwanaume anazaa nje ye ndoa??.
Hata Serikali ikiwatambus watoto wako hawakuulizi huyu ni wa ndani au nje ya ndoa,cha msingi umesems ni wako basi Serikali nayo itamutambua hivyo.
 
Zaa hata ujaze bus kabla hujanioa wala sitajali kama niliona unanifaa na watoto aitakiwa na shida nao kikubwa uweze kuwatunza. Ila baada ya ndoa ukizaa siwezi kulea mtoto wa usaliti wako kwa 100% hata mama yake akifa ukakabidhiwa sihusiki kwa chochote hata kumkorogea glucose akiugua. Ukatike wewe unogewe wewe majukumu tusaidiane never.
Uzuri hubby wangu anajua hili na likitikea atajua mwenyewe maana na mapenzi yatakuwa yameyumba tutaishi kwa kukomoana tu
Una vituko,unawezaje kumkomoa Mwanaume labda kama wewe ndio unamfuga.
 
Zaa hata ujaze bus kabla hujanioa wala sitajali kama niliona unanifaa na watoto aitakiwa na shida nao kikubwa uweze kuwatunza. Ila baada ya ndoa ukizaa siwezi kulea mtoto wa usaliti wako kwa 100% hata mama yake akifa ukakabidhiwa sihusiki kwa chochote hata kumkorogea glucose akiugua. Ukatike wewe unogewe wewe majukumu tusaidiane never.
Uzuri hubby wangu anajua hili na likitikea atajua mwenyewe maana na mapenzi yatakuwa yameyumba tutaishi kwa kukomoana tu

Aisee kwa hilo jina lako tu unaonekana una roho mbaya sana. Mimi wanawake toxic wa aina yako huwa ninawanusa miles 10,000 na huwa siwasogelei kabisa.
 
Kuna jamaa alishawishiwa na mchepuko wake waende kwa Mganga kufunga mke wa ndoa asijue kuwa wamezaa mtoto wa miaka 2-3 ,

Lakini Mungu si Athumani mke amejua!

Imagine mume ametaja majina ya mkewe kwa mchepuko lakini kwakuwa mke amekuwa akisali sana basi Mungu akamfunulia.

Kuna wanaume ni wapumbavu sana!

Nasikia mke huyo wa ndoa alishasepa zake kamwambia mumewe nimeamua kuwapa Uhuru na hawara yako muishi kwa kujinafasi na sio kujiibaiba na kudanganya !

Anasubiri muda ufike akadai talaka yake mahakamani.

Mume anasema hatatoa talaka lakini wasichokijua wengi ni kuwa mahakamani ina uwezo wa kutoa talaka ikiona kuna sababu za msingi na mojawapo ni uzinzi na kuzaa nje!
 
Hivi mwanamke uloolewa unakwama wapi katika kustukia mahusiano ya mumeo na mchepuko?

Imeandikwa: mke mwema huzijua njia ( mienendo/tabia) za watu wa nyumbani mwake.

Yani mume aanzishe mahusiano na mchepuko au michepuko na kubadilisha wengine hadi kuzaa lakini mke hustukii hata siku moja ?

Mmnh!
 
Yani mume aanzishe mahusiano na mchepuko au michepuko na kubadilisha wengine hadi kuzaa lakini mke hustukii hata siku moja ?

Mmnh!
Utamstuiaje wakati akitoka kazini anapitia kwa mchepuko halafu anamchapa ndipo anakuja kwako. Nawe anakuchapa usiku. (Japo wewe ndiyo utakuwa unapakazwa shombo la mchepuko)

Ama anaweza kukuaga anaenda semina kumbe semina yenyewe ni kumpakua mchepuko. Au anaweza kweli akaenda semina lkn akaongeza na siku 3 za kumseminisha mchepuko.
 
Back
Top Bottom