[emoji16][emoji16][emoji16]hivi kumbe uko hivi siyoYaani mie wakikorogana wao kwa wao kama hivi nafurahi kishenzi, wapinzani walisema wakimalizana na sisi watakuja kwenu, kidogo kidgo hata kama wanacheka lkn najua moyoni mwao wanawekeana mabifu safi sana, unasimangwa mbele ya halaiki na dunia nzima inaona hahahah sijui familia yake wamejisikiaje
Hivi yale maneno aliyatoa baada ya siri kutolewa kuwa anaitwa Mpumbavu kutolewa au ilikuwa ni kabla ....!!?Kabudi hivi naye ana familia , mke anajivuna nina mume? Watoto wanasema tuna baba? Jana alijidhalilisha sana! Hata kama anapata hela,hela tele tele na maghorofa anajenga kibao, mwanadamu na utu wake si hela tu, maghorofa tu! Yote yanatia kinyaa!
Ngoja nilifanyie kazi..Hivi yale maneno aliyatoa baada ya siri kutolewa kuwa anaitwa Mpumbavu kutolewa au ilikuwa ni kabla ....!!?
🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️🏃♂️[emoji16][emoji16][emoji16]hivi kumbe uko hivi siyo
Yaani mie wakikorogana wao kwa wao kama hivi nafurahi kishenzi, wapinzani walisema wakimalizana na sisi watakuja kwenu, kidogo kidgo hata kama wanacheka lkn najua moyoni mwao wanawekeana mabifu safi sana, unasimangwa mbele ya halaiki na dunia nzima inaona hahahah sijui familia yake wamejisikiaje
Kila la heri manengelo, tuliambiwa huyu ni kichwa sana wakati alipoteuliwa kumbe ni BOYA tu eti kaokotwa JALALANI! 😂😂
Sikutegemea “Msomi” kama huyu UDSM akuone jalalani.
Serikali ilianza lini kufanya biashara? Unadhani soko kinatafutwa kama kutafuta degree? Haya wewe waambie maofisa wa wizara soko lilikoKwani tatizo liko wapi, serikali ilinunua korosho, wizara ya kilimo ikafanya kazi yake ya kuwalipa wakulima, jeshi nalo likazipeleka kwenye maghala. Sasa ikabaki kutafuta soko ambayo ni kazi ya wizara ya viwanda na biashara. Rais alihoji kwa nini hawakutafuta masoko wakati sisi pekee ndiyo tulikuwa nazo, wao wamesubiri mpaka Afrika magharibi wameanza kuvuna. Unacho shangaa ni nini hasa?
Pumbavu + pumbavu ====== hahahahah😂😂😂😂😂 Baba pumbavu na familia yote PUMBAVU 🤣🤣🤣🤣🤣