Ukiyastaajabu ya Kabudi, utayaona ya .....

Ukiyastaajabu ya Kabudi, utayaona ya .....

Ndio maana hana tija kwa lolote afanyalo kumbe ni cha kuokota jalalani? Kwa hiyo amevunda? Kazi ipo.
 
Bora arudi jalalani AKA UDSM tu kuliko mtu mzima kukubali kudhalilidhwa hivi tena hadharani mchana KWEUPEEEE! 😂

Pumbavu + pumbavu ====== hahahahah
 
Kabudi hivi naye ana familia , mke anajivuna nina mume? Watoto wanasema tuna baba? Jana alijidhalilisha sana! Hata kama anapata hela,hela tele tele na maghorofa anajenga kibao, mwanadamu na utu wake si hela tu, maghorofa tu! Yote yanatia kinyaa!
Acha mkewe na watoto, huyo hata kama kuna mtu anamwita Mjomba au shemeji lazima ajisikie aibu kuwa na ndugu "mpumbavu"
 
Mku kwa hili lazima tuangalie pande zote mbili
Kwanza Waziri alikuwa na baadhi ya kampuni kwa ajili ya manunuzi lakini alizuiwa kutokuyaleta hayo makampuni.
Kama Waziri Mkuu ilishindika huyu wa Viwanda ilibidi akae kimya baada ya ile kampuni ya Kenya kupata hiyo tends ya manunuzi.
Hivi kweli ni hiyo wa viwanda huu ndo alitakiwa kuondoka?
Kwani tatizo liko wapi, serikali ilinunua korosho, wizara ya kilimo ikafanya kazi yake ya kuwalipa wakulima, jeshi nalo likazipeleka kwenye maghala. Sasa ikabaki kutafuta soko ambayo ni kazi ya wizara ya viwanda na biashara. Rais alihoji kwa nini hawakutafuta masoko wakati sisi pekee ndiyo tulikuwa nazo, wao wamesubiri mpaka Afrika magharibi wameanza kuvuna. Unacho shangaa ni nini hasa?
 
Kabundi mtu wa ajabu ajabu tu kazi kusifia ujinga huku akitoa povu mdomoni kama kala sabuni vile.
 
Yaani mie wakikorogana wao kwa wao kama hivi nafurahi kishenzi, wapinzani walisema wakimalizana na sisi watakuja kwenu, kidogo kidgo hata kama wanacheka lkn najua moyoni mwao wanawekeana mabifu safi sana, unasimangwa mbele ya halaiki na dunia nzima inaona hahahah sijui familia yake wamejisikiaje
Aibu sana.
 
Serikali ilianza lini kufanya biashara? Unadhani soko kinatafutwa kama kutafuta degree? Haya wewe waambie maofisa wa wizara soko liliko
Mambo ya biashara waachieni wafanyabishara hicho ni kipaji comfort zone haiwezi jamani muwe waelewa
Ningekuwa mimi serikali bora ningewadhamini wafanyabishara kununua kwa bei ya kufidia nachotaka hasara ingekuwa ndogo kuliko hali ilivyo sasa,ila mkubwa hakosei
We koma, hakosei?
 
Kwani tatizo liko wapi, serikali ilinunua korosho, wizara ya kilimo ikafanya kazi yake ya kuwalipa wakulima, jeshi nalo likazipeleka kwenye maghala. Sasa ikabaki kutafuta soko ambayo ni kazi ya wizara ya viwanda na biashara. Rais alihoji kwa nini hawakutafuta masoko wakati sisi pekee ndiyo tulikuwa nazo, wao wamesubiri mpaka Afrika magharibi wameanza kuvuna. Unacho shangaa ni nini hasa?
Ni tajiri gani atakuja kununua midhaa huku kasimamiwa na wanajeshi? Kumbuka Korosho inasimamiwa nayeye mwenyewe katengeneza utisho wakibabe majigambo kama yote.

kama waziri mkuu alileta wafanya biashara na bado akazalilishwa nani mwingine atadhubutu!? Kalikoroga mwenyewe.
 
Chezeya mwendawazimu akisahau kumeza dawa zake basi anawatusi wote hadharani! Dah! Kazi wanayo [emoji23][emoji23]
[emoji13] [emoji13] Mi nilifurahi ijapo nilimwonea huruma kabundi, kweli mwehu walisau kumumezesha dawa yaani sio kwa tusi lile maana ni tusi la funga kazi bora angemwita mjinga.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Kila la heri manengelo, tuliambiwa huyu ni kichwa sana wakati alipoteuliwa kumbe ni BOYA tu eti kaokotwa JALALANI! 😂😂

Sikutegemea “Msomi” kama huyu UDSM akuone jalalani.
😂😂😂!
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Daaah
UDSM yetu inaitwa Jalala?

Inalillah llah wainna ilayh rajiuun

Poleni sana wana Daruso na MSAUD wenzangu

Prof Mzima unaita Mavumbini maisha ya kustaafu?, inaonekana hakujipanga kisaikolojia kabla ya kustaafu

Mbona Pohamba kastaafu lakin hapa kwangu Kawe siwezi kupaita Mavumbini
Tumpuuze tu, tuwalaumu waliomchagua kusoma UDSM maana vichwa vya udsm huwa sio maji kama cha jiwe
 
Back
Top Bottom