Vesper-valens
JF-Expert Member
- Mar 6, 2020
- 5,287
- 7,388
Hi mentality ni mbaya sana ,Inadumaza mnooHii kitu niliikataa
Ni kweli kabisa mkuu lakini ni muhimu kufanya vitu kwa kiasi na sio kwa msukumo wa Jamii ...coz ukiwaendekeza sana watu utageuka mtumwa ..na at the end vile unavojitoa n tofaut kabisa na return ...Ndo maana kuna msemo tenda wema uende zako lakini haina maana kwamba wema upitilizeUkitazama mafunzo na maelekezo ya vitabu vya kiimani utaona matokeo ya tabia chanya au hasi ktk jamii.
Hizo hapo juu ni baadhi ya tabia chanya zinazochochea amani na upendo ktk jamii.
Tabia hasi nazo matokeo yake yanafahamika.
For sure mkuu ...Matokeo yake n yanaleta hasara na majuto makubwa huko mbeleniBado tuna mentality za kijamaa..mtu anaona sifa kusifiwa ana roho nzuri..kisa ndugu wamejazana nyumbani kwake wanakula bure,mbaya zaidi wanaharibu mpaka watoto wake.
ukiishasema wema usizidi uwezo huo sio wema tena.Ni kweli kabisa mkuu lakini ni muhimu kufanya vitu kwa kiasi na sio kwa msukumo wa Jamii ...coz ukiwaendekeza sana watu utageuka mtumwa ..na at the end vile unavojitoa n tofaut kabisa na return ...Ndo maana kuna msemo tenda wema uende zako lakini haina maana kwamba wema upitilize
Ujamaa ukizid gharama zake n kubwa mnooMentality ya kijamaa
Mkuu nakubaliana na ww lakini hata Vitabu vya dini vinatuhusia. Kufanya kila kitu kwa kiasi ... Too much of everything is harmful ...ukiishasema wema usizidi uwezo huo sio wema tena.
najua utashangaa,yess wema hauna mpaka.
kwenye haya maisha unawezakutana na rafiki au mtu tu halafu
ukashangaa anavyojitoa kwako,kiasi ukahisi labda anataka kukutoa kafara.
vipi ukajifunza kwake ukatendee wengine!!!dunia ingekuwaje???
hizo ndio gharama za kusifiwa una roho nzuri.Bado tuna mentality za kijamaa..mtu anaona sifa kusifiwa ana roho nzuri..kisa ndugu wamejazana nyumbani kwake wanakula bure,mbaya zaidi wanaharibu mpaka watoto wake.
ni sababu ya mioyo yetu migumu.Mkuu nakubaliana na ww lakini hata Vitabu vya dini vinatuhusia. Kufanya kila kitu kwa kiasi ... Too much of everything is harmful ...
Kiufupi ukiona unapendwa na kila mtu jua unashidaHi everybody ....
Kumekuwa na kawaida ya
Watu wapole wanaokubali kila wanachoambiwa bila kupinga ...wanajua kuishi na watu
Watu wenye kutoa msaada muda wote pindi inavohitajika kufanya hvyo...wanajua kuishi na watu
Watu wanaofanya yale yanayowapendeza wengine machoni wanajua kuishi na watu
Watu wenye utii wa hali ya juu kwa kila wanachoambiwa ...wanajua kuishi na watu
Watu wanaojitoa sana ...wanajua kuishi na watu...n.k ..
Yani ukiweza kufanya yale yanayo wafurahisha wengine bila kujali yanakuumiza kwa namna gani , yatakuingizia hasara kiasi gani, Yanakuathiri kiasi gani
Jamii itakuchukulia kuwa unajua kuishi na watu , Ila ukienda kinyume nao basi hujui kuishi na watu
Hii mentality imejengeka kwenye Jamii na kupelekea watu kufanya hata yale yanayowaumiza ilimradi tuu aonekane kuwa ana roho nzuri ,ana Utu, anajali ,bila kuangalia anagharamika kiasi gani
Ukiishi kwa kufuata misingi yako ujiandae kukosolewa ,kutopendwa na hata kufanyiwa mambo mabaya kwa makusudi
Ukitaka kuridhisha kila mtu ..Ujue umekubali kuwa mtumwa
hizo ndio gharama za kusifiwa una roho nzuri.
kuna watu hawatongozewi wake mtaani kutokana na siha hiyo tu.hata binti yake mzuri unamuogopa maana ni kama unahisii kuikosea nafsi yako kwa kumtendea baya asiye mbaya.
au huwa tuna kauli moja"baba yake au mume wake mtu poa sana namheshimu".
Yeah ... haiwezekani kila mtu awe anakukubali ...kutakua na shidah mahaliKiufupi ukiona unapendwa na kila mtu jua unashida
Points. Na hivi ndivo ninavoishi na majirani pamoja na watu wanaonizunguka.ndio maana ya neno upendo wa agape mkuu.
mara nyingi watu wa hivi huwa hawahesabu mabaya ya wanaoishi nao,wao hujitoa kwa ajili yao hata iweje.
gues what,huwa ni watu wenye furaha zaidi na amani sana,maana wanajua binaadam hata afake vipi,kuna point lazina atazikumbuka fadhira anazomfanyia.
nami nikusihi,ili uwe na mafanikio zaidi hapa duniani,jitahidi kutendea mema wengine na si kujitizama wewe zaidi.