Bushmamy
JF-Expert Member
- Aug 18, 2019
- 8,847
- 15,252
Kweli Kabisa watu tu hawajui Ukiwa na uzazi (watoto) Jitahidi sana kuishi na watu maana hakuna anaejua kesho yake, ukitangulia leo wakabaki watoto. Watoto ndio watakaopata shida kulingana na. Ulivoishi na watuMaisha ya hapa duniani ni mafupi sana. Ukiwa na uwezo wa kuwasaidia wengine fanya hivyo kwa moyo mweupe. Aliyekupa wewe ndiye aliyawanyima wao. Duniani hatukuja na kitu na hatutoondoka na kitu. Wekeni hazina zenu mbinguni ambako hakuna kutu wala wevi. Uzima wa mtu haumo katika wingi wa vitu vyake alivyo navyo. Heri kutoa kuliko kupokea. ...
Fanya hivi utaishi maisha ya raha sana.
JESUS IS LORD!